Nimeamua kurudi Chadema

Nitaanza na wewe mkuu,

hebu Jiulize Kama una future yeyote ndani ya Chadema zaidi ya kutumiika tu mshahara VirobaViroba
 
Siasa za bongo kama biashara ya sumu ila kwa hili cdm imepotoka!
 
Huna tofauti na kina Samson Mwigamba na Dr. Kitila Mkumbo.
 

Maamuzi magumu hata jambazi anafanya kwenda kumvamia mtu!, Acha Umende wewe
 

Usipoacha bange utatembea uchi mitaa ya London sasa hivi kijana! Haya shauri yako!
 
Hahahaaaaaa dunia haiiishi maajabu, si vyema kuwa na tabia za undumilakuwili namna hii

MANI na zumbemkuu njooni Kuna maajabu Hulu eti nzi WA chooni anataka kujichanganya na nyuki

Naskia jamaa alikula rambirambi ya mama mjane Mama mwangosi dah...
 
Last edited by a moderator:
akili nyingne @#%%"~*

wATU wengi hawajui maana ya itikadi na uhuru wa kuchagua. tofauti ya ccm na cdm ni namna ya kufikisha matakwa ya wananchi kama taasisi sio wazo la mtu kama wengi wanavyotaka.kwa wenzetu katu hutaweza jua nani ni mwenyekiti wa republican wala democrat.
 
Ngoja nimpigie rafiki yako niulize kama hizi habari za kweli au akaunti yako imekuwa hacked
 
Duuuh, imekuwaje tena? Mhh haya ni maamuzi magumu sana. Chadema mpokeeni kondoo huyu.

Anazuga tu ili kupata majority attention...headline na contents ni two different things.
 

waliosema kuwa wewe ni chizi hawakukosea
 

kuliko kurudi kwenye chama cha wazalendo wa nchi hii kwanini usiendelee kukaa huko huko ccm? Maana huko ccm wanakuna tiGO yako freshi
 

Mkuu hata kula rambirambi ya mjane mke a mwangosi ni maamuzi magumu pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…