Nimeamua kumtema mazima.

Nimeamua kumtema mazima.

Ushaanza ooh elimu ndogo,cjui nini,wakati unamdate hukufahamu hilo,we mburula nini,kwani kwenye mapenzi elimu yako ina nafasi gani,unaonekana ulikuwa na lengo moja,hit and run,play boy tu huna lolote

Nadhani ulikosea mwanzoni. Na ulikosea zaidi kuomba umtafune wakati wa msiba, hapo ulijenga picha mbaya mno kwake, pengine yeye alikuhitaji muwe pamoja muda mrefu na mwishowe kakuona huna utu.
Mke akifiwa Mume aliyetoa mahari na kuoa hadhubutu kuomba game, itakua wewe ndugu yangu, labda huyo demu angekuwa mwehu ndio zoezi lako lingewezekana. Na kama angekukubalia wakati ana-msiba mimi ningekushauri usiendelee nae huyo demu sababu ni mwehu.

wewe ni kama vicheche wengine tu,tafakari maisha ni kama muwa ukiisha utamu unatema.au hujui maana ya busness card?pia hujui inatakiwa kutumika pahala gani.ndo unajiita una elimu?whatch out man

Na kwa taarifa yake sasa dem hana cha dada mkali wala ushu***z kamchezea game tu, kamuona mzugaj na yeye kaamua kumzuga....Kudadadek..chezea madem wa mjini wewe....

si bora hata amuone mzugaji, kamuona mtoto...n kasepa kisela baada ya kugundua anadate mtoto...

Habari za asubuhi Mabibi na Mabwana, wakubwa na wadogo natumaini mnaendelea vizuri, mwanzoni wa mwezi kwanza mwaka 2013 nilikwenda pale Mlimani City kwenye duka ambalo linauza bidhaa za Samsung, kwa bahati mbaya au nzuri ambayo naweza kusema ckuweza kupata kitu nilichokuwa nahitaji dukani pale, hivyo wakanielekeza sehemu nyingine, wakati natoka nikakutana na dada mmoja ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale, akasema kama ameshawahi kuniona maeneo ya leaders club, bnafsi nikamwambia inawezekana kwani pale ni moja ya sehemu ninazopenda kwenda, kwa kuwa nilikuwa na haraka nikampatia My Bussiness Card ili 2wacliane zaidi.

Kidume huyo nikachapa lapa, ikapita kama siku tatu hivi nikaona namba ngeni inaingia katika simu yangu, nikapokea na kuckiliza sauti ya upande wa pili, alikuwa ni yule bi mdada niliyeonana naye pale M-City baada ya yeye kujitambulisha, Mawasiliano yakaendelea kuanzia pale, sio siri ameumbika kiaina yule bi mdada , anashape ya kimodel hivi alafu mashalaah , sasa tulivyokuwa katika mchakato wa kuchat ili kukumbushana wapi tulionana bnafsi ckuweza kumkumbuka na nikamwambia ukweli ila nikamweleza c mbaya kama tutakuwa marafiki akasema hapana shaka kuhusu hilo, siku zilizofuata tukawa tunaendelea kuchat na kupeana habari mbalimbali pia kufahamiana.

Uzalendo ukanishinda na kama mnavyojua NZI KUFIA KWENYE KIDONDA NI USHUJAA ikabidi nimtemee Madini, Mtoto akasema nimpe muda, nikamwambia hilo sio shida basi baada ya wiki moja akawa amenikubali, baada ya kuaccept my request nikaona ngoja nimkaribishe Home kwangu ili aweze kupafahamu, Jumapili moja akaja mpaka Home kwangu, nikamtreat kiV.I.P haswa mpk mwenyewe nilipokuwa namuangalia alikuwa ni m2 ambaye amekubali kwamba KIDUME najua kuCARE.

Swali la kwanza aliniuliza unawezaje kuishi kwenye Nyumba kubwa kama hii mwenyewe, Nikamwambia huwa naishi na wadogo zangu ila kwa sasa wapo Boarding ndio maana nyumba imepwaya, basi siku ile 2liishia romance na michezo ile ya kawaida sema ha2kusex, nikamcndikiza mpk maeneo anayoishi ambayo ni kijitonyama kisha kidume nikarudi kuendelea na mambo yangu mengine, usiku wake 2kaongea sana, akaanza kunielezea mambo yake ya kifamilia na v2 vingne vingi ila sehemu anayoishi amepanga yeye na dada yake,...Nitaendelea baadae Charge Imeisha kwenye Laptop yangu.

Akaniambia kwamba anaishi na dada yake ambaye anafanya kazi sekta flani hivi ya serikali, nikamwambia sawa ila kwa jinsi 2livyokuwa 2nachat na kuwasiliana haswa nyakati za usiku alikuwa anasema kwamba mwisho wa yeye kuongea ni saa nne kamili zaidi ya hapo hawezi kwani anamuogopa huyo dada yake na pia akasema wakati mwingine huwa huyo dada yake anakuwa anamwambia awe makini na wanaume kwani mimba anaweza akapa, mimi nikamwambia kwa utu uzima wako cdhani kama hujui baya na jema, yeye akawa anasema anachukia sana tabia ya yeye kuchungwa na huyo dada yake ila hana jinsi kwa sababu ndio anamuweka hapa mjini.

Siku chache nyuma zilipita wakawa wanamuuguza mgonjwa ambaye alikuwa mama yake mkubwa sema kwa bahati mbaya alifariki hivyo wakaenda kuzika kwao Tabora, ila yeye hakusafiri aliyesafiri ni dada yake huyo mkali na ndugu zake wengine ambao ni wakaribu, baada ya ndugu zao kusafiri nikamwambia nadhani naweza kuja kukufariji hapo nyumbani kwenu kwa msiba uliotokea au hata kama sio hapo 2tafute sehemu nyingine tukae tuzungumze, mtoto akaleta pozi akasema hawezi kutoka kwani bado hata mama yake mkubwa hajazikwa hivyo inakuwa c o vizuri, kiukweli nilimind sana ila nikaona inawezekana ngoja nivumilie mpk pale watakapomzika huyo mama mkubwa.

2kawa 2naongea usiku na kuchat kama kawaida ya wapenzi wengine, sema kitu ambacho kilikuwa kinanikera kwa huyu bi mdada ni kuwa alikuwa anarudia makosa sana, unaweza kukuta muda mnachart alafu hajibu text au muda mwingine anachelewa kujibu, nikawa namuhoji tatizo ni nini akawa anasema hayuko poa kwani anamawazo ya msiba, baada msiba kuisha yule dada yake akawa amesharudi tyr home, hivyo 2kapanga kwamba jumapili moja tuonane ili 2weze kuvunja AMRI YA SITA kwa ukamilifu, basi jumapili ilipofika nikamuuliza inakuaje, akasema hadhani kama 2naweza kufanya hivyo kwani dada yake huyo yupo na hawezi kutoka, Niliudhika sana kwani bnafsi sipendi wanawake ambao wanatabia za kiswahili,

nilichukua uamuzi wa kufuta namba yake na txt zote na nikasema ctachart nae tena,.baada ya yeye kuona nipo kimya akawa ananiuliza tatizo ni nini, mimi nikamwambia kila ki2 kisha nikamwambia sihitaji tena kuwa na mawasiliano nae, akaniomba sana nicfanye hivyo ila mimi nikaona ni bullshit kuumuza kichwa kwa mwanamke ambae anaelimu ndogo na uwezo pia kwaiyo nikaona sio ishu nikachapa lapa, mpk leo ha2wasiliani tena. Je, Hapo Nimefanya Makosa ? nahitaji ushauri wenu kuhusu uamuzi nilioamua.

Huyo demu bila shaka namfahamu.

Huyo demu bila shaka namfahamu.

Kuna mwenzio alishauziwa External HDD ya tsh. 120000 kwa tsh. 150000 kisa shingo nzuri ya huyo demu.... Kazi kweli kweli.....

Dada ana akili sana. angekubali tu ungemaliza alafu ungesepa! ha ha ha ha ha ningekua namjua ningemnunulia zawadi ya wallet ya kike!

Simple sana! Mtoe akilini, usonane nae kwa muda! halafu akiomba kuja kukuona unamtambulisha kama dada/mama yako mdogo!

Ningependa nikujibu kama ifuatavyo, M-city ni sehemu ninayopenda kutembelea sana, cjajua kwa nini hawa WANAWAKE WA KIBONGO wanakuwa na kasumba za namna hii, lakini kipindi nipo KANSAS niliwahi kuwa na gals ambao ni waelewa sana tofauti na wa hapa.,Kingine nilichogundua ni kwamba wanawake wa Bongo asilimia kubwa hawapendi UKWELI.

ewaaaa! sasa m-pm Natalia akutafutie wanamke uko marekan manake unawazimikia hao.

acha ujinga kenge wewe eti nilipokuwa KANSAS kwa iyo unaona ndo watahadaika ama?? na wewe kwako mahali pazuri na pa kutoka ni mliman city eti ndo maneneo yangu ya kutembelea pusi wa head wakati unashinda nzese kila siku.

so far wewe unajipa maujiko ili watu wanasike kumbe kalaghabao babu mwanaume mwenye nyodo za kike kama wewe wala hakohozi.

so far nilijua Natalia na Mange Kimambi ni wanawake wacha wajiashue kumbe hata wanaume wako wa aina hii. poor boy umedhalilisha sana jinsia ya kiume aisee hasa watu wazima kama babu Dark City, Asprin, Kaizer na wengine.

Last edited by a moderator:

Hapa nimekuwa microscopic mzee wenzangu...

Naweza kusema nini halafu watu wakanielewa???

Ila bahati mbaya...na huu ndiyo ukweli...hawa ndiyo watoto/wakujuu zetu....lol!!

Babu DC!!

yaani napata picha eti ndo klein wangu anakuja na utumbo kama huu hapa?? fgs ningemtandika hadi akome.

Mie nimeshajiandaa na sitashangaa...jana nimeletewa mashitaka kuwa kajukuu kamojawapo hata hakajafikisha 10yrs kanapenda kuvaa mlegezo....

kwa ufupi nimejiandaa kwa lolote isipokuwa nitaomba utumbo kama ule wa akina Cameron usibiri nimaliza zamu yangu hapa duniani......

hii ipo listi ya top five ya parent's worst nightmare. usiombe ukikute

Similar Discussions

Back
Top Bottom