Nimeamua kumtema mazima.

Nimeamua kumtema mazima.

Not a mistake in such !but it seemed your real vuvuzela..how can u take the ladie like vocha?? U dont now her then you pick her where you dwelling,u cnt be serious nigger damn!!!!!!!!!!!!!
 
kweli we wa kishua,akili zenu huwa za kushikiwa watoto wa mama mboga nane!!!!so unadhani kila demu unataka akupe kwa muda unaompangia wewe????sijui hata kwa nini nacomment hapa
 
[h=2]Re: Nimeamua kumtema mazima.[/h]
Angefanya kosa kubwa sana kukupa wewe........!!!
Namnukuu MWANAFA - ''DEMU UKIONA ANAKUCHUKIA, JUA WAZI ANAKUZIMIA. Evelyn Salt naona unajitaidi kunitafuta, utanipata tuu. 🙂
 
Sio kama Nimelipia Internet ila hapa Home Kwangu Internet ipo 24/7, Tatizo hii MacProBook yangu imeisha Charge ndio sasa imekaa poa.

akaniambia kwamba anaishi na dada yake ambaye anafanya kazi sekta flani hivi ya serikali, nikamwambia sawa ila kwa jinsi 2livyokuwa 2nachat na kuwasiliana haswa nyakati za usiku alikuwa anasema kwamba mwisho wa yeye kuongea ni saa nne kamili zaidi ya hapo hawezi kwani anamuogopa huyo dada yake na pia akasema wakati mwingine huwa huyo dada yake anakuwa anamwambia awe makini na wanaume kwani mimba anaweza akapa, mimi nikamwambia kwa utu uzima wako cdhani kama hujui baya na jema, yeye akawa anasema anachukia sana tabia ya yeye kuchungwa na huyo dada yake ila hana jinsi kwa sababu ndio anamuweka hapa mjini, siku chache nyuma zilipita wakawa wanamuuguza mgonjwa ambaye alikuwa mama yake mkubwa sema kwa bahati mbaya alifariki hivyo wakaenda kuzika kwao Tabora, ila yeye hakusafiri aliyesafiri ni dada yake huyo mkali na ndugu zake wengine ambao ni wakaribu, baada ya ndugu zao kusafiri nikamwambia nadhani naweza kuja kukufariji hapo nyumbani kwenu kwa msiba uliotokea au hata kama sio hapo 2tafute sehemu nyingine tukae tuzungumze, mtoto akaleta pozi akasema hawezi kutoka kwani bado hata mama yake mkubwa hajazikwa hivyo inakuwa c o vizuri, kiukweli nilimind sana ila nikaona inawezekana ngoja nivumilie mpk pale watakapomzika huyo mama mkubwa, 2kawa 2naongea usiku na kuchat kama kawaida ya wapenzi wengine, sema kitu ambacho kilikuwa kinanikera kwa huyu bi mdada ni kuwa alikuwa anarudia makosa sana, unaweza kukuta muda mnachart alafu hajibu text au muda mwingine anachelewa kujibu, nikawa namuhoji tatizo ni nini akawa anasema hayuko poa kwani anamawazo ya msiba, baada msiba kuisha yule dada yake akawa amesharudi tyr home, hivyo 2kapanga kwamba jumapili moja tuonane ili 2weze kuvunja AMRI YA SITA kwa ukamilifu, basi jumapili ilipofika nikamuuliza inakuaje, akasema hadhani kama 2naweza kufanya hivyo kwani dada yake huyo yupo na hawezi kutoka, Niliudhika sana kwani bnafsi sipendi wanawake ambao wanatabia za kiswahili, nilichukua uamuzi wa kufuta namba yake na txt zote na nikasema ctachart nae tena,.baada ya yeye kuona nipo kimya akawa ananiuliza tatizo ni nini, mimi nikamwambia kila ki2 kisha nikamwambia sihitaji tena kuwa na mawasiliano nae, akaniomba sana nicfanye hivyo ila mimi nikaona ni bullshit kuumuza kichwa kwa mwanamke ambae anaelimu ndogo na uwezo pia kwaiyo nikaona sio ishu nikachapa lapa, mpk leo ha2wasiliani tena. Je, Hapo Nimefanya Makosa ? nahitaji ushauri wenu kuhusu uamuzi nilioamua.
Labda umesahau nikukumbushe yule mdada ulieagana nae mkutane mlimani city hakutokea ukasema anatabia za kiswahili ukadelete namba zake, je uyu ulikutana nae siku hiyo au kwa vile unapenda kwenda hapo ulikutana nae baada ya yule kumdelete?
anyway turudi kwa uyu wa mlimani city ukute ata wewe alikugundua una tabia za kiswahili ndio maana alikuwa anakupotezea! embu acha kutufunga kamba we kila mdada ni mswahili si utoe tangazo la kutafuta msichana wa kizungu.
 
MAWERE
[h=2]
icon1.png
Re: Nimeamua kumtema mazima.[/h]
Not a mistake in such !but it seemed your real vuvuzela..how can u take the ladie like vocha?? U dont now her then you pick her where you dwelling,u cnt be serious nigger damn!!!!!!!!!!!!!
Watch ur words MAWERE.
 
Mulugo alisema "One nineteen sixty one" Visiwa ya Zanzibar & Zimbabwe.
samahani najaribu kukisia so wa kishua umejaribu kumfananisha nae au? maana ata mi ananichanginyi kwelikweli au topiki kubwa hapo ni nyumba anayokaa kuwa ni kubwa maana da!
 
nikupongeze kwa kutomfanyia uhuni

lakini bado mhuni,jirekebishe
 
by MadamG
Labda umesahau nikukumbushe yule mdada ulieagana nae mkutane mlimani city hakutokea ukasema anatabia za kiswahili ukadelete namba zake, je uyu ulikutana nae siku hiyo au kwa vile unapenda kwenda hapo ulikutana nae baada ya yule kumdelete?
anyway turudi kwa uyu wa mlimani city ukute ata wewe alikugundua una tabia za kiswahili ndio maana alikuwa anakupotezea! embu acha kutufunga kamba we kila mdada ni mswahili si utoe tangazo la kutafuta msichana wa kizungu.

Ningependa nikujibu kama ifuatavyo, M-city ni sehemu ninayopenda kutembelea sana, cjajua kwa nini hawa WANAWAKE WA KIBONGO wanakuwa na kasumba za namna hii, lakini kipindi nipo KANSAS niliwahi kuwa na gals ambao ni waelewa sana tofauti na wa hapa.,Kingine nilichogundua ni kwamba wanawake wa Bongo asilimia kubwa hawapendi UKWELI.
 
Copy na kupaste style nouma!! ila nayway mm nipo kwenye deals zangu, utanijulisha part two yake!!
 
WA KISHUA fix zako mbona fupi sana!!
Da unagundulikaje mapema, hapa naona wengi wameshakushutukia!!
 
we WA KISHUA ujue una harakati za kipimbi sana nimechunguza visa vyako unavyopost huwa vinafanana na jamaa fulani anaitwa pimbi wa gazeti la sani.
Source😛ost zako hapa MMU.
 
Last edited by a moderator:
ila we ni mburula kuliko wenginge wanavofikiri ni mburula!
hao wanawake wanaohangaika na wewe kwa style hii unawapataga wapi dogo!mbn unaonekana mshamba mwili mzima best!
 
WA KISHUA fix zako mbona fupi sana!!
Da unagundulikaje mapema, hapa naona wengi wameshakushutukia!!

Inaonyesha umezoea MATANI na MASIHARA bwana mdogo, endelea KUKAZANA ivyo ivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom