iviii hujioni unagundu,umechina,huna swaga au we mbaya????? kwanin kila siku wewe tu unatoswa wewe tu hupendwi wewe huyohuyoooo...why?inabidi ujiangalie vizur kwenye kioo uone kasoro yako kaka angu haiwezekani na sifa zote izo bado kila siku unalalamika mademu wanakutosa naamini lipotatizo ambalo wanawake wengi hawapendi kuwa na wewe hata siku moja...daaah i feel ur pain inakuaga vibaya sana kukataliwa tena pamoja na mbwembwe zote izo