Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Sio kama Nimelipia Internet ila hapa Home Kwangu Internet ipo 24/7, Tatizo hii MacProBook yangu imeisha Charge ndio sasa imekaa poa.
akaniambia kwamba anaishi na dada yake ambaye anafanya kazi sekta flani hivi ya serikali, nikamwambia sawa ila kwa jinsi 2livyokuwa 2nachat na kuwasiliana haswa nyakati za usiku alikuwa anasema kwamba mwisho wa yeye kuongea ni saa nne kamili zaidi ya hapo hawezi kwani anamuogopa huyo dada yake na pia akasema wakati mwingine huwa huyo dada yake anakuwa anamwambia awe makini na wanaume kwani mimba anaweza akapa, mimi nikamwambia kwa utu uzima wako cdhani kama hujui baya na jema, yeye akawa anasema anachukia sana tabia ya yeye kuchungwa na huyo dada yake ila hana jinsi kwa sababu ndio anamuweka hapa mjini, siku chache nyuma zilipita wakawa wanamuuguza mgonjwa ambaye alikuwa mama yake mkubwa sema kwa bahati mbaya alifariki hivyo wakaenda kuzika kwao Tabora, ila yeye hakusafiri aliyesafiri ni dada yake huyo mkali na ndugu zake wengine ambao ni wakaribu, baada ya ndugu zao kusafiri nikamwambia nadhani naweza kuja kukufariji hapo nyumbani kwenu kwa msiba uliotokea au hata kama sio hapo 2tafute sehemu nyingine tukae tuzungumze, mtoto akaleta pozi akasema hawezi kutoka kwani bado hata mama yake mkubwa hajazikwa hivyo inakuwa c o vizuri, kiukweli nilimind sana ila nikaona inawezekana ngoja nivumilie mpk pale watakapomzika huyo mama mkubwa, 2kawa 2naongea usiku na kuchat kama kawaida ya wapenzi wengine, sema kitu ambacho kilikuwa kinanikera kwa huyu bi mdada ni kuwa alikuwa anarudia makosa sana, unaweza kukuta muda mnachart alafu hajibu text au muda mwingine anachelewa kujibu, nikawa namuhoji tatizo ni nini akawa anasema hayuko poa kwani anamawazo ya msiba, baada msiba kuisha yule dada yake akawa amesharudi tyr home, hivyo 2kapanga kwamba jumapili moja tuonane ili 2weze kuvunja AMRI YA SITA kwa ukamilifu, basi jumapili ilipofika nikamuuliza inakuaje, akasema hadhani kama 2naweza kufanya hivyo kwani dada yake huyo yupo na hawezi kutoka, Niliudhika sana kwani bnafsi sipendi wanawake ambao wanatabia za kiswahili, nilichukua uamuzi wa kufuta namba yake na txt zote na nikasema ctachart nae tena,.baada ya yeye kuona nipo kimya akawa ananiuliza tatizo ni nini, mimi nikamwambia kila ki2 kisha nikamwambia sihitaji tena kuwa na mawasiliano nae, akaniomba sana nicfanye hivyo ila mimi nikaona ni bullshit kuumuza kichwa kwa mwanamke ambae anaelimu ndogo na uwezo pia kwaiyo nikaona sio ishu nikachapa lapa, mpk leo ha2wasiliani tena. Je, Hapo Nimefanya Makosa ? nahitaji ushauri wenu kuhusu uamuzi nilioamua.
unajua sana kuongea bwana mdogo.
Habari za asubuhi Mabibi na Mabwana, wakubwa na wadogo natumaini mnaendelea vizuri, mwanzoni wa mwezi kwanza mwaka 2013 nilikwenda pale Mlimani City kwenye duka ambalo linauza bidhaa za Samsung, kwa bahati mbaya au nzuri ambayo naweza kusema ckuweza kupata kitu nilichokuwa nahitaji dukani pale, hivyo wakanielekeza sehemu nyingine, wakati natoka nikakutana na dada mmoja ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale, akasema kama ameshawahi kuniona maeneo ya leaders club, bnafsi nikamwambia inawezekana kwani pale ni moja ya sehemu ninazopenda kwenda, kwa kuwa nilikuwa na haraka nikampatia My Bussiness Card ili 2wacliane zaidi, Kidume huyo nikachapa lapa, ikapita kama siku tatu hivi nikaona namba ngeni inaingia katika simu yangu, nikapokea na kuckiliza sauti ya upande wa pili, alikuwa ni yule bi mdada niliyeonana naye pale M-City baada ya yeye kujitambulisha, Mawasiliano yakaendelea kuanzia pale, sio siri ameumbika kiaina yule bi mdada , anashape ya kimodel hivi alafu mashalaah , sasa tulivyokuwa katika mchakato wa kuchat ili kukumbushana wapi tulionana bnafsi ckuweza kumkumbuka na nikamwambia ukweli ila nikamweleza c mbaya kama tutakuwa marafiki akasema hapana shaka kuhusu hilo, siku zilizofuata tukawa tunaendelea kuchat na kupeana habari mbalimbali pia kufahamiana, Uzalendo ukanishinda na kama mnavyojua NZI KUFIA KWENYE KIDONDA NI USHUJAA ikabidi nimtemee Madini, Mtoto akasema nimpe muda, nikamwambia hilo sio shida basi baada ya wiki moja akawa amenikubali, baada ya kuaccept my request nikaona ngoja nimkaribishe Home kwangu ili aweze kupafahamu, Jumapili moja akaja mpaka Home kwangu, nikamtreat kiV.I.P haswa mpk mwenyewe nilipokuwa namuangalia alikuwa ni m2 ambaye amekubali kwamba KIDUME najua kuCARE, Swali la kwanza aliniuliza unawezaje kuishi kwenye Nyumba kubwa kama hii mwenyewe, Nikamwambia huwa naishi na wadogo zangu ila kwa sasa wapo Boarding ndio maana nyumba imepwaya, basi siku ile 2liishia romance na michezo ile ya kawaida sema ha2kusex, nikamcndikiza mpk maeneo anayoishi ambayo ni kijitonyama kisha kidume nikarudi kuendelea na mambo yangu mengine, usiku wake 2kaongea sana, akaanza kunielezea mambo yake ya kifamilia na v2 vingne vingi ila sehemu anayoishi amepanga yeye na dada yake,...Nitaendelea baadae Charge Imeisha kwenye Laptop yangu.
hahaha yule mjeda alikua nomaaaa,siku comment chochote kwenye ile hadithi yake ila chamoto nilikiona,,Chomeshwa sana mahindi,,,lolDaaaah mjeda staili inatutesa sana hapa JF!!! Stori kama hii inaonekana siyo ndefu ilibidi utiririke moja kwa moja ili watu tuanze kutupa comment zetu chapp!!!
E bwana ww ni MJIVUNIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
mkuu i am sure one day utakaa chini halafu utasoma haya na kujishangaa sana,..sorry, how old are you?
Ni wakati muafaka wa JF kuwa na jukwaa maalumu la watoto. Huko patamfaa WA KISHUA.
mkuu i am sure one day utakaa chini halafu utasoma haya na kujishangaa sana,..sorry, how old are you?