Daaaah mjeda staili inatutesa sana hapa JF!!! Stori kama hii inaonekana siyo ndefu ilibidi utiririke moja kwa moja ili watu tuanze kutupa comment zetu chapp!!!
Inaonyesha umezoea MATANI na MASIHARA bwana mdogo, endelea KUKAZANA ivyo ivyo
ila we ni mburula kuliko wenginge wanavofikiri ni mburula!
hao wanawake wanaohangaika na wewe kwa style hii unawapataga wapi dogo!mbn unaonekana mshamba mwili mzima best!
mm naona thread yako hii ya pili nimeisoma, lakn du huwa sioni km zina mantiki!! Hata ku-comment unajiuliza mara mbili mbili!! Hv unadhani kuwa hili jukwaa ni la kupost kila tukio linalokutokea street?? Au ni jukwaa la kila aina ya idea utakayokuwa nayo kwenye medula oblongata!!
Ushauri wa bure, jitahidi uwe mrefu kidogo unaonekana mfupi sana wa kishua!!
Ahsante!!
Mm naona thread yako hii ya pili nimeisoma, lakn du huwa sioni km zina mantiki!! hata ku-comment unajiuliza mara mbili mbili!! hv unadhani kuwa hili jukwaa ni la kupost kila tukio linalokutokea street?? au ni jukwaa la kila aina ya idea utakayokuwa nayo kwenye medula oblongata!!
Ushauri wa bure, jitahidi uwe mrefu kidogo unaonekana mfupi sana wa kishua!!
Ahsante!!
awe kajenga kapanda kusema ukweli mwanaume wa kujisho show hiv walahi angejua anajitafsiri vipi! wala asingekuwa anapost anayopost humu SnowBall pacha wangu! njoo umuone jamaa yako wa kutaka kuonana na mwanasheria wake kwa kuombwa vocha ya shing 500Shiiiii, taratibu snowhite, jamaa anakaa kwenye boooonge la jumba a.k.a machinjio.
Sasa sijui kajenga au kapanga?
ila we ni mburula kuliko wenginge wanavofikiri ni mburula!
hao wanawake wanaohangaika na wewe kwa style hii unawapataga wapi dogo!mbn unaonekana mshamba mwili mzima best!
Namnukuu MWANAFA - ''DEMU AKIKUCHUKIA, JUA WAZI ANAKUZIMIA.
Huyu atakuwa wanshomile.
Mara elimu ndogo, kama elimu kubwa anaandika hata paragraph hajui maana yake basi hakuna maana ya elimu Tanzania.
Angefanya kosa kubwa sana kukupa wewe........!!!