Nimeamua kumtema mazima.

Nimeamua kumtema mazima.

Dada ulisema unakuja lini maana leo siku ya tatu kitandani sikuoni.

leo nimekukumbuka sana nikasema nimekosea sana kwako ila nitakuja dada yao akina gwin kasepa kapata mchumba kammimba na alikuwa bado analea kichanga nimejionea tabu ya nn hapa duniani??
nimemtimua kwamba wa kwanza nilijua ni bahati mbaya sasa kafanya ndio tabia aanze mbele so far yeye hakuwa mwiko ama sufuria useme akiondoka sitokula ama kupika. niko home kama beki 3
 
when it comes to child rearing sina amsihara atleast afanye nikiwa nime RIP na hapo mungu atanihurumia kwamba nilijitahd khaa!
very good
kitu pekee ambacho hunifanya nikonde na namwomba Mungu aniepushie ni eti mwanangu anafumuliwa rinda?? ee mungu usiruhusu hili kwangu kwa sasa na hata kwa kizazi changu.
soma hapa
hii ipo listi ya top five ya parent's worst nightmare. usiombe ukikute
 
ila mimi nikaona ni bullshit kuumuza kichwa kwa mwanamke ambae anaelimu ndogo na uwezo pia kwaiyo nikaona sio ishu nikachapa lapa, mpk leo ha2wasiliani tena. Je, Hapo Nimefanya Makosa ? nahitaji ushauri wenu kuhusu uamuzi nilioamua.

Vyanaume vya kiswahili huwa mnakosea sana hapa, wewe una elimu kubwa kiasi gani ukamzarau mwenzio? Au wewe mwenye elimu kubwa unakunya pesa au cake? Acha dharau za kishamba dogo
 
Nimekoma kufungua thread za Masharobaro, yaani kama kweli una elimu zaidi ya huyo SHORI baasi hiyo elimu haijakusaidia kujitambua.

:becky::becky::becky: huyu sharobaro wa Tandare kwa Tumbo :becky:
 
Kwanza nichukue nafasi hii kumpongeza huyo dada kwa kuonesha msimamo!
Daaaah huyu ndio mwanamke hakika!
Wanawake wa hivi ni adimu sana!

Nakushauri usimame kwenye uamuzi wako maana hana mpango wa kukupa mchezo mbaya!

Habari za asubuhi Mabibi na Mabwana, wakubwa na wadogo natumaini mnaendelea vizuri, mwanzoni wa mwezi kwanza mwaka 2013 nilikwenda pale Mlimani City kwenye duka ambalo linauza bidhaa za Samsung, kwa bahati mbaya au nzuri ambayo naweza kusema ckuweza kupata kitu nilichokuwa nahitaji dukani pale, hivyo wakanielekeza sehemu nyingine, wakati natoka nikakutana na dada mmoja ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale, akasema kama ameshawahi kuniona maeneo ya leaders club, bnafsi nikamwambia inawezekana kwani pale ni moja ya sehemu ninazopenda kwenda, kwa kuwa nilikuwa na haraka nikampatia My Bussiness Card ili 2wacliane zaidi.

Kidume huyo nikachapa lapa, ikapita kama siku tatu hivi nikaona namba ngeni inaingia katika simu yangu, nikapokea na kuckiliza sauti ya upande wa pili, alikuwa ni yule bi mdada niliyeonana naye pale M-City baada ya yeye kujitambulisha, Mawasiliano yakaendelea kuanzia pale, sio siri ameumbika kiaina yule bi mdada , anashape ya kimodel hivi alafu mashalaah , sasa tulivyokuwa katika mchakato wa kuchat ili kukumbushana wapi tulionana bnafsi ckuweza kumkumbuka na nikamwambia ukweli ila nikamweleza c mbaya kama tutakuwa marafiki akasema hapana shaka kuhusu hilo, siku zilizofuata tukawa tunaendelea kuchat na kupeana habari mbalimbali pia kufahamiana.

Uzalendo ukanishinda na kama mnavyojua NZI KUFIA KWENYE KIDONDA NI USHUJAA ikabidi nimtemee Madini, Mtoto akasema nimpe muda, nikamwambia hilo sio shida basi baada ya wiki moja akawa amenikubali, baada ya kuaccept my request nikaona ngoja nimkaribishe Home kwangu ili aweze kupafahamu, Jumapili moja akaja mpaka Home kwangu, nikamtreat kiV.I.P haswa mpk mwenyewe nilipokuwa namuangalia alikuwa ni m2 ambaye amekubali kwamba KIDUME najua kuCARE.

Swali la kwanza aliniuliza unawezaje kuishi kwenye Nyumba kubwa kama hii mwenyewe, Nikamwambia huwa naishi na wadogo zangu ila kwa sasa wapo Boarding ndio maana nyumba imepwaya, basi siku ile 2liishia romance na michezo ile ya kawaida sema ha2kusex, nikamcndikiza mpk maeneo anayoishi ambayo ni kijitonyama kisha kidume nikarudi kuendelea na mambo yangu mengine, usiku wake 2kaongea sana, akaanza kunielezea mambo yake ya kifamilia na v2 vingne vingi ila sehemu anayoishi amepanga yeye na dada yake,...Nitaendelea baadae Charge Imeisha kwenye Laptop yangu.

Akaniambia kwamba anaishi na dada yake ambaye anafanya kazi sekta flani hivi ya serikali, nikamwambia sawa ila kwa jinsi 2livyokuwa 2nachat na kuwasiliana haswa nyakati za usiku alikuwa anasema kwamba mwisho wa yeye kuongea ni saa nne kamili zaidi ya hapo hawezi kwani anamuogopa huyo dada yake na pia akasema wakati mwingine huwa huyo dada yake anakuwa anamwambia awe makini na wanaume kwani mimba anaweza akapa, mimi nikamwambia kwa utu uzima wako cdhani kama hujui baya na jema, yeye akawa anasema anachukia sana tabia ya yeye kuchungwa na huyo dada yake ila hana jinsi kwa sababu ndio anamuweka hapa mjini.

Siku chache nyuma zilipita wakawa wanamuuguza mgonjwa ambaye alikuwa mama yake mkubwa sema kwa bahati mbaya alifariki hivyo wakaenda kuzika kwao Tabora, ila yeye hakusafiri aliyesafiri ni dada yake huyo mkali na ndugu zake wengine ambao ni wakaribu, baada ya ndugu zao kusafiri nikamwambia nadhani naweza kuja kukufariji hapo nyumbani kwenu kwa msiba uliotokea au hata kama sio hapo 2tafute sehemu nyingine tukae tuzungumze, mtoto akaleta pozi akasema hawezi kutoka kwani bado hata mama yake mkubwa hajazikwa hivyo inakuwa c o vizuri, kiukweli nilimind sana ila nikaona inawezekana ngoja nivumilie mpk pale watakapomzika huyo mama mkubwa.

2kawa 2naongea usiku na kuchat kama kawaida ya wapenzi wengine, sema kitu ambacho kilikuwa kinanikera kwa huyu bi mdada ni kuwa alikuwa anarudia makosa sana, unaweza kukuta muda mnachart alafu hajibu text au muda mwingine anachelewa kujibu, nikawa namuhoji tatizo ni nini akawa anasema hayuko poa kwani anamawazo ya msiba, baada msiba kuisha yule dada yake akawa amesharudi tyr home, hivyo 2kapanga kwamba jumapili moja tuonane ili 2weze kuvunja AMRI YA SITA kwa ukamilifu, basi jumapili ilipofika nikamuuliza inakuaje, akasema hadhani kama 2naweza kufanya hivyo kwani dada yake huyo yupo na hawezi kutoka, Niliudhika sana kwani bnafsi sipendi wanawake ambao wanatabia za kiswahili,

nilichukua uamuzi wa kufuta namba yake na txt zote na nikasema ctachart nae tena,.baada ya yeye kuona nipo kimya akawa ananiuliza tatizo ni nini, mimi nikamwambia kila ki2 kisha nikamwambia sihitaji tena kuwa na mawasiliano nae, akaniomba sana nicfanye hivyo ila mimi nikaona ni bullshit kuumuza kichwa kwa mwanamke ambae anaelimu ndogo na uwezo pia kwaiyo nikaona sio ishu nikachapa lapa, mpk leo ha2wasiliani tena. Je, Hapo Nimefanya Makosa ? nahitaji ushauri wenu kuhusu uamuzi nilioamua.
 
ewaaaa! sasa m-pm Natalia akutafutie wanamke uko marekan manake unawazimikia hao.

acha ujinga kenge wewe eti nilipokuwa KANSAS kwa iyo unaona ndo watahadaika ama?? na wewe kwako mahali pazuri na pa kutoka ni mliman city eti ndo maneneo yangu ya kutembelea pusi wa head wakati unashinda nzese kila siku.

so far wewe unajipa maujiko ili watu wanasike kumbe kalaghabao babu mwanaume mwenye nyodo za kike kama wewe wala hakohozi.

so far nilijua Natalia na Mange Kimambi ni wanawake wacha wajiashue kumbe hata wanaume wako wa aina hii. poor boy umedhalilisha sana jinsia ya kiume aisee hasa watu wazima kama babu Dark City, Asprin, Kaizer na wengine.
Wa Kishua umempata huyo dada yako? Hebu tafakari aliyoyasema hata kama yanauma jitahidi tu itakusaidia sana.
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi Mabibi na Mabwana, wakubwa na wadogo natumaini mnaendelea vizuri, mwanzoni wa mwezi kwanza mwaka 2013 nilikwenda pale Mlimani City kwenye duka ambalo linauza bidhaa za Samsung, kwa bahati mbaya au nzuri ambayo naweza kusema ckuweza kupata kitu nilichokuwa nahitaji dukani pale, hivyo wakanielekeza sehemu nyingine, wakati natoka nikakutana na dada mmoja ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale, akasema kama ameshawahi kuniona maeneo ya leaders club, bnafsi nikamwambia inawezekana kwani pale ni moja ya sehemu ninazopenda kwenda, kwa kuwa nilikuwa na haraka nikampatia My Bussiness Card ili 2wacliane zaidi.

Kidume huyo nikachapa lapa, ikapita kama siku tatu hivi nikaona namba ngeni inaingia katika simu yangu, nikapokea na kuckiliza sauti ya upande wa pili, alikuwa ni yule bi mdada niliyeonana naye pale M-City baada ya yeye kujitambulisha, Mawasiliano yakaendelea kuanzia pale, sio siri ameumbika kiaina yule bi mdada , anashape ya kimodel hivi alafu mashalaah , sasa tulivyokuwa katika mchakato wa kuchat ili kukumbushana wapi tulionana bnafsi ckuweza kumkumbuka na nikamwambia ukweli ila nikamweleza c mbaya kama tutakuwa marafiki akasema hapana shaka kuhusu hilo, siku zilizofuata tukawa tunaendelea kuchat na kupeana habari mbalimbali pia kufahamiana.

Uzalendo ukanishinda na kama mnavyojua NZI KUFIA KWENYE KIDONDA NI USHUJAA ikabidi nimtemee Madini, Mtoto akasema nimpe muda, nikamwambia hilo sio shida basi baada ya wiki moja akawa amenikubali, baada ya kuaccept my request nikaona ngoja nimkaribishe Home kwangu ili aweze kupafahamu, Jumapili moja akaja mpaka Home kwangu, nikamtreat kiV.I.P haswa mpk mwenyewe nilipokuwa namuangalia alikuwa ni m2 ambaye amekubali kwamba KIDUME najua kuCARE.

Swali la kwanza aliniuliza unawezaje kuishi kwenye Nyumba kubwa kama hii mwenyewe, Nikamwambia huwa naishi na wadogo zangu ila kwa sasa wapo Boarding ndio maana nyumba imepwaya, basi siku ile 2liishia romance na michezo ile ya kawaida sema ha2kusex, nikamcndikiza mpk maeneo anayoishi ambayo ni kijitonyama kisha kidume nikarudi kuendelea na mambo yangu mengine, usiku wake 2kaongea sana, akaanza kunielezea mambo yake ya kifamilia na v2 vingne vingi ila sehemu anayoishi amepanga yeye na dada yake,...Nitaendelea baadae Charge Imeisha kwenye Laptop yangu.

Akaniambia kwamba anaishi na dada yake ambaye anafanya kazi sekta flani hivi ya serikali, nikamwambia sawa ila kwa jinsi 2livyokuwa 2nachat na kuwasiliana haswa nyakati za usiku alikuwa anasema kwamba mwisho wa yeye kuongea ni saa nne kamili zaidi ya hapo hawezi kwani anamuogopa huyo dada yake na pia akasema wakati mwingine huwa huyo dada yake anakuwa anamwambia awe makini na wanaume kwani mimba anaweza akapa, mimi nikamwambia kwa utu uzima wako cdhani kama hujui baya na jema, yeye akawa anasema anachukia sana tabia ya yeye kuchungwa na huyo dada yake ila hana jinsi kwa sababu ndio anamuweka hapa mjini.

Siku chache nyuma zilipita wakawa wanamuuguza mgonjwa ambaye alikuwa mama yake mkubwa sema kwa bahati mbaya alifariki hivyo wakaenda kuzika kwao Tabora, ila yeye hakusafiri aliyesafiri ni dada yake huyo mkali na ndugu zake wengine ambao ni wakaribu, baada ya ndugu zao kusafiri nikamwambia nadhani naweza kuja kukufariji hapo nyumbani kwenu kwa msiba uliotokea au hata kama sio hapo 2tafute sehemu nyingine tukae tuzungumze, mtoto akaleta pozi akasema hawezi kutoka kwani bado hata mama yake mkubwa hajazikwa hivyo inakuwa c o vizuri, kiukweli nilimind sana ila nikaona inawezekana ngoja nivumilie mpk pale watakapomzika huyo mama mkubwa.

2kawa 2naongea usiku na kuchat kama kawaida ya wapenzi wengine, sema kitu ambacho kilikuwa kinanikera kwa huyu bi mdada ni kuwa alikuwa anarudia makosa sana, unaweza kukuta muda mnachart alafu hajibu text au muda mwingine anachelewa kujibu, nikawa namuhoji tatizo ni nini akawa anasema hayuko poa kwani anamawazo ya msiba, baada msiba kuisha yule dada yake akawa amesharudi tyr home, hivyo 2kapanga kwamba jumapili moja tuonane ili 2weze kuvunja AMRI YA SITA kwa ukamilifu, basi jumapili ilipofika nikamuuliza inakuaje, akasema hadhani kama 2naweza kufanya hivyo kwani dada yake huyo yupo na hawezi kutoka, Niliudhika sana kwani bnafsi sipendi wanawake ambao wanatabia za kiswahili,

nilichukua uamuzi wa kufuta namba yake na txt zote na nikasema ctachart nae tena,.baada ya yeye kuona nipo kimya akawa ananiuliza tatizo ni nini, mimi nikamwambia kila ki2 kisha nikamwambia sihitaji tena kuwa na mawasiliano nae, akaniomba sana nicfanye hivyo ila mimi nikaona ni bullshit kuumuza kichwa kwa mwanamke ambae anaelimu ndogo na uwezo pia kwaiyo nikaona sio ishu nikachapa lapa, mpk leo ha2wasiliani tena. Je, Hapo Nimefanya Makosa ? nahitaji ushauri wenu kuhusu uamuzi nilioamua.
Vijana wa siku hizi mnakera sana yaani mnawaza ngono tu. Mtu mmefahamiana Januari umeshataka akuvulie chupi? Kwanza hujamfahamu tabia zake kama ni kicheche au ana mtu mwingine; nampongeza kwa kukukatalia. Niskushauri kama unataka kuoa huyo ndoa mke hasa, sio wale wanaompanulia mapaja kila mtu anayekuja kumbuka huyo hata akiwa ndani hatabadilika.
 
Vyanaume vya kiswahili huwa mnakosea sana hapa, wewe una elimu kubwa kiasi gani ukamzarau mwenzio? Au wewe mwenye elimu kubwa unakunya pesa au cake? Acha dharau za kishamba dogo

Kielimu Nimemzidi, nimesema hivyo kwa sababu ya HASIRA na nimeboreka kwa m2 wa LOW CLASS aniletee magumashi mpk mm m2 mwny UELEWA na ELIMU iliyoshba..nikaona nimpotezee tuu, kwani cku zote ukizoea m2 mwenye akili ndogo akuongoze na ww utaonekana hivyo hivyo, Na2maini umenielewa ww unayejiita cjui TIQO
 
Vijana wa siku hizi mnakera sana yaani mnawaza ngono tu. Mtu mmefahamiana Januari umeshataka akuvulie chupi? Kwanza hujamfahamu tabia zake kama ni kicheche au ana mtu mwingine; nampongeza kwa kukukatalia. Niskushauri kama unataka kuoa huyo ndoa mke hasa, sio wale wanaompanulia mapaja kila mtu anayekuja kumbuka huyo hata akiwa ndani hatabadilika.

Nielewe kwamba ckuwa na haraka ya kufanya MAPENZI ila ilikuwa ni ile hali ya kutaka kuzoeana kwa ukaribu, unajua w2 mkiwa kwenye mahusiano alafu mkifanya mapenzi ndio ukaribu unazidi zaidi, ckutaka nimchezee huyu mwanamke ila nilitaka awe mke na nimsaidie shida zke nyingne.
 
Ni kweli mkuu inauma sana unapojiandaa kuwa na mtu fulan for future alafu mwisho wa siku anaanza kusumbua wakati wewe pendo limekolea.

Wadada wa mjini ndo tabia zao,labda ulikuwa unambana sana kiasi kwamba anashindwa fanya yake alozoea ndo maana akaamua kuanza visa.Kaka si unajua wadada zetu siku hizi kuwa na wanaume kibao ndo habari ya mujini.

Also swala la kuongea na simu mwisho sa nne ule ulikuwa uongo,haiwezekani mdada mtu mzima ambaye ashaanza maisha yake tho anapanga na dada ake akatazwe kuwasiliana na simu.

Ni wazi alikuwa anaishi na bwana na ikifika mida ile anakuwa akikosa uhuru ndo mana akotoa such stupid excuse.

Ila vumilia ipo siku utampata yule utakayeona anakufaa kwa maisha ya mbeleni asiye mbabaishaji.

Nimekupata Ndugu
 
too low justification.

wewe unaongea utumbo tu ukubali.yani kwa kifupi wewe ni mshamba tena mshambist..wangapi wame/wana ishi hizo developed countries na hawabehave kama wewe?
nimekusome hata unavyojibu unajibu utumbo.

wewe ulikuwa unataka ushauriwe nini hapo?ujinga mtupu

Nadhani na ww utakuwa KENGE kwenye huu msafara wa MAMBA..Thnks for ur Advice sweetdada
 
hapo ulikuwa unaingilia mapenzi ya watu.......
 
Tafuta kurasa kwenye gazeti lolote la udaku,hadithi hizi zinapendwa sana na beki tatu!
 
Ningependa unielewe hivi lebraza , Bnafsi c MJIVUNI na nimeona w2 wengi hapa jukwaani wananiona kama vile mpenda sifa au m2 mwenye majivuno laah, haya ndio maisha yangu halisi na mimi cwezi kuzungumza UONGO kama jinsi ilivyozoeleka kwa WATANZANIA wengi, nipo hivi kama k2 ninacho huwa nasema na kama sina huwa csemi, nahisi labda ni kwa sababu muda mwingi wa ukuaji wangu nilikulia nchi ambazo ni DEVELOPED COUNTRIES nadhani ndio hilo hasa limechangia.

oyaa acha mambo yako...kwahiyo hata mambo ya intanet 24/7 nyumbani kwako inapatikana umeona ishu eeh????kiGB kimoja ni sh ngap mpaka umeona ni ishu ya kutuletea humu??? kitu gani ambacho wewe unacho na wengine hawana....acha mambo yako watu wanamaisha ukiona utakimbia wewe....
 
Ila fahamu kwamba nia yangu haikua kumchezea, nilitaka 2we na long term relationship na wala c short term as u think, k2 ambacho kinaniboa katika maisha yangu ni m2 kusema uongo na kunidanganya wkt ndio kwnza mahusiano yalikuwa mabichi, kwaiyo nikaona kama longolongo zimeanza ndio kwanza mpira unaanza hata kama nikiingia kwenye mahusiano na huyu m2 lazima 2tashindwana kwani mm na wanawake ambao waongo na wasiojali muda ni tofauti kbs yaan, ndio maana nikaamua kummwaga kbs ili acnisumbue akili yangu, lakni cha ajabu w2 wengine wanakuja hapa kwenye huu UZI wangu na kuanza kusema ooh! unaeleza kila k2 chako ! mara utoto unanisumbua! nabaki najiuliza hili jukwaa limewekwa la kazi gani?? ingekuwa c o hivyo w2 wacngeleta shida zao hapa ili washauriwe matatizo yanayowakumba katika vipindi tofauti wanavyopitia. Ningependa nieleweke hivyo watu wangu wa hili Jukwaa la MMU na c vingnevyo.

Watoto wa siku hizi wanakwambia "JIPANGE" hukujipanga kuongea na wakubwa wenzio....matokea yake wamekuona under 20...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom