Nimeamua kumtema mazima.

Nimeamua kumtema mazima.

hii ipo listi ya top five ya parent's worst nightmare. usiombe ukikute

Sijui ila nadhani kila mzazi yeyote akifikiria kitu hiki anatamani atangulie kwa muumba....

Very unbearable....,

Babu DC!!
 
makosa makubwa ni yako unaejua kuwa wanawake wenye elimu kubwa ndio wanatoa haraka na umemuacha kwa kua huwezi kukaa na mtu mwenye elimu ndogo,je elimu na mapenzi vinauhusiano gani?mi nadhani umekosa swaga za kumnasa tu,jitahidi usikate tamaa haraka
Nimekupata kamanda
 
Nadhani ulikosea mwanzoni. Na ulikosea zaidi kuomba umtafune wakati wa msiba, hapo ulijenga picha mbaya mno kwake, pengine yeye alikuhitaji muwe pamoja muda mrefu na mwishowe kakuona huna utu.
Mke akifiwa Mume aliyetoa mahari na kuoa hadhubutu kuomba game, itakua wewe ndugu yangu, labda huyo demu angekuwa mwehu ndio zoezi lako lingewezekana. Na kama angekukubalia wakati ana-msiba mimi ningekushauri usiendelee nae huyo demu sababu ni mwehu.

Hapo nakubali kwmb nilikosea, lakini nilimvumilia mpk msiba ukaisha.
 
E bwana ww ni MJIVUNIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Ningependa unielewe hivi lebraza , Bnafsi c MJIVUNI na nimeona w2 wengi hapa jukwaani wananiona kama vile mpenda sifa au m2 mwenye majivuno laah, haya ndio maisha yangu halisi na mimi cwezi kuzungumza UONGO kama jinsi ilivyozoeleka kwa WATANZANIA wengi, nipo hivi kama k2 ninacho huwa nasema na kama sina huwa csemi, nahisi labda ni kwa sababu muda mwingi wa ukuaji wangu nilikulia nchi ambazo ni DEVELOPED COUNTRIES nadhani ndio hilo hasa limechangia.
 
Ungemla siku hiyo hiyo mmeonana ndo angepata adabu,kumwacha hivi hivi lilikuwa kosa ambalo unajutia mpaka sasa.Pole sana WA KISHUA, ningelikuwa ni mimi ningemtafta mpaka nimle alafu nianze kumchunia.
 
Last edited by a moderator:
nina umri sawa na baba yako

utoto unakusumbua..ukikua utaacha...prove me wrong...
kwanza wenye pesa hawajisemi,
pili unapenda kupaka ooh wa uswahilini nk wewe unawa-date ya nini kama ni wa kiswazi? go get a life boy...
 
Ungemla siku hiyo hiyo mmeonana ndo angepata adabu,kumwacha hivi hivi lilikuwa kosa ambalo unajutia mpaka sasa.Pole sana WA KISHUA, ningelikuwa ni mimi ningemtafta mpaka nimle alafu nianze kumchunia.

Ila fahamu kwamba nia yangu haikua kumchezea, nilitaka 2we na long term relationship na wala c short term as u think, k2 ambacho kinaniboa katika maisha yangu ni m2 kusema uongo na kunidanganya wkt ndio kwnza mahusiano yalikuwa mabichi, kwaiyo nikaona kama longolongo zimeanza ndio kwanza mpira unaanza hata kama nikiingia kwenye mahusiano na huyu m2 lazima 2tashindwana kwani mm na wanawake ambao waongo na wasiojali muda ni tofauti kbs yaan, ndio maana nikaamua kummwaga kbs ili acnisumbue akili yangu, lakni cha ajabu w2 wengine wanakuja hapa kwenye huu UZI wangu na kuanza kusema ooh! unaeleza kila k2 chako ! mara utoto unanisumbua! nabaki najiuliza hili jukwaa limewekwa la kazi gani?? ingekuwa c o hivyo w2 wacngeleta shida zao hapa ili washauriwe matatizo yanayowakumba katika vipindi tofauti wanavyopitia. Ningependa nieleweke hivyo watu wangu wa hili Jukwaa la MMU na c vingnevyo.
 
Kakaaa hata mimi sipendi disappoiment zinanikeara sanaaa! yani ila umefanya haraka.. ungempa muda kidogo you have to learn how women brain works...
 
Ningependa unielewe hivi lebraza , Bnafsi c MJIVUNI na nimeona w2 wengi hapa jukwaani wananiona kama vile mpenda sifa au m2 mwenye majivuno laah, haya ndio maisha yangu halisi na mimi cwezi kuzungumza UONGO kama jinsi ilivyozoeleka kwa WATANZANIA wengi, nipo hivi kama k2 ninacho huwa nasema na kama sina huwa csemi, nahisi labda ni kwa sababu muda mwingi wa ukuaji wangu nilikulia nchi ambazo ni DEVELOPED COUNTRIES nadhani ndio hilo hasa limechangia.

too low justification.

wewe unaongea utumbo tu ukubali.yani kwa kifupi wewe ni mshamba tena mshambist..wangapi wame/wana ishi hizo developed countries na hawabehave kama wewe?
nimekusome hata unavyojibu unajibu utumbo.

wewe ulikuwa unataka ushauriwe nini hapo?ujinga mtupu
 
Ila fahamu kwamba nia yangu haikua kumchezea, nilitaka 2we na long term relationship na wala c short term as u think, k2 ambacho kinaniboa katika maisha yangu ni m2 kusema uongo na kunidanganya wkt ndio kwnza mahusiano yalikuwa mabichi, kwaiyo nikaona kama longolongo zimeanza ndio kwanza mpira unaanza hata kama nikiingia kwenye mahusiano na huyu m2 lazima 2tashindwana kwani mm na wanawake ambao waongo na wasiojali muda ni tofauti kbs yaan, ndio maana nikaamua kummwaga kbs ili acnisumbue akili yangu, lakni cha ajabu w2 wengine wanakuja hapa kwenye huu UZI wangu na kuanza kusema ooh! unaeleza kila k2 chako ! mara utoto unanisumbua! nabaki najiuliza hili jukwaa limewekwa la kazi gani?? ingekuwa c o hivyo w2 wacngeleta shida zao hapa ili washauriwe matatizo yanayowakumba katika vipindi tofauti wanavyopitia. Ningependa nieleweke hivyo watu wangu wa hili Jukwaa la MMU na c vingnevyo.
Ni kweli mkuu inauma sana unapojiandaa kuwa na mtu fulan for future alafu mwisho wa siku anaanza kusumbua wakati wewe pendo limekolea.

Wadada wa mjini ndo tabia zao,labda ulikuwa unambana sana kiasi kwamba anashindwa fanya yake alozoea ndo maana akaamua kuanza visa.Kaka si unajua wadada zetu siku hizi kuwa na wanaume kibao ndo habari ya mujini.

Also swala la kuongea na simu mwisho sa nne ule ulikuwa uongo,haiwezekani mdada mtu mzima ambaye ashaanza maisha yake tho anapanga na dada ake akatazwe kuwasiliana na simu.

Ni wazi alikuwa anaishi na bwana na ikifika mida ile anakuwa akikosa uhuru ndo mana akotoa such stupid excuse.

Ila vumilia ipo siku utampata yule utakayeona anakufaa kwa maisha ya mbeleni asiye mbabaishaji.
 
Ningependa nikujibu kama ifuatavyo, M-city ni sehemu ninayopenda kutembelea sana, cjajua kwa nini hawa WANAWAKE WA KIBONGO wanakuwa na kasumba za namna hii, lakini kipindi nipo KANSAS niliwahi kuwa na gals ambao ni waelewa sana tofauti na wa hapa.,Kingine nilichogundua ni kwamba wanawake wa Bongo asilimia kubwa hawapendi UKWELI.

Aaah? Kansas, mweeeeee!!!
Asanteeeeeeeeeee Wa kishua
 
inaonekana ulitaka kuchakachua then usepe..bora alivyoleta mapozi
 
kumbe na wewe ni mkali kiasi hiki!!

when it comes to child rearing sina amsihara atleast afanye nikiwa nime RIP na hapo mungu atanihurumia kwamba nilijitahd khaa!

nilishawaambia wanangu miaka 800 awe yuko ulaya ama wapi asije kwangu na mlegezo, ama amesuka ama kutoga maskio. akijiona yuko hivyo basi aisjhie huko huko.

kitu pekee ambacho hunifanya nikonde na namwomba Mungu aniepushie ni eti mwanangu anafumuliwa rinda?? ee mungu usiruhusu hili kwangu kwa sasa na hata kwa kizazi changu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom