Ameshakupa taarifa zaid kuhusu kilimo chako mkuu?Lengo langu ni kuweza kulima 12months mkuu
Hazijakamilika, yeye analima kilimo cha msimu tuAmeshakupa taarifa zaid kuhusu kilimo chako mkuu?
Aisee napenda kilimo cha umwagiliaji kwa kweli,nilidhan ameshakupa taarifa kamili ili utusaidie na sisiHazijakamilika, yeye analima kilimo cha msimu tu
Nami napenda sana kilimo na nina basic knowledge japo si practice kutokana na kubanwa na majukumu mengine, but nafikiria kupata maeneo makubwa kiasi niweke vijana wasimamieAisee napenda kilimo cha umwagiliaji kwa kweli,nilidhan ameshakupa taarifa kamili ili utusaidie na sisi
Asante hii post ni ya mwaka 2010 je matokeo yake yamekuaje mkuu unaweza kutupa mrejesho sbb mm ndo naiona leo.JF
Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions Tshs.
Kwa maneno mengine kama sintantafuta kitu mbadala mbali na mshahara wangu cha kufanya basi nishakufa maskini na sintakuwa na chochote cha kuwaachia wanangu.
Maisha ni magumu sana kadri siku zinavyoenda mbele, sasa nimeamua kuanza kilimo kwa mara ya pili, awamu hii natumia mshahara wangu kama mtaji, nimewaambia kwa mara ya pili sababu kilimo cha kwanza nilifanya pamoja na wazazi wangu hadi nilipomaliza form four miaka hiyo, hicho hakikuwa na manufaa yeyote sababu ya mtaji na ufahamu.
Kwa sasa nimeanza na heka 50 ( 70m by 70m), nipo morogoro - pale Tuliani. Heka zote zimeshalimwa sasa tunapanda - nita expand my project up to 1,000 in next 3 - 5 years.
Makadirioni kwamba kila hekari average ni gunia 30, nitategemea kupata gunia 1500 za mahindi kutokana na hekari zangu za sasa 50. Kila gunia average selling price ni Tshs 60,000. kwa hiyo nitapata average Tshs 90m by July this year.
Running cost itakuwa approx 5m, so super profit ni 85m by July 2010.
Sasa 85m kwa mtu anayepokea sh 1million kwa mwezi ni mshahara wake wa miaka 7 na ushee-- teh teh teh teh
By next year nitaexpand to 200 hektas, nitalipima shamba langu na nijaribu kutafuta mikopo katika mabenki - or mbia toka SA au Zimbabwe. by 2015 wakati Dr Slaa anakuwa Rais wa nchi nitakuwa millionea. Sasa ole wenu mseme nimefanya ufisadi.
This is a challenge to you JF - hasa mnaopata less than 5m per month - think twice and join me.
Kumbuka shairi la darasa la nne - Kama mkitaka mali mtayapata shambani - huu ni wosia.
Yaa wazo zuri,,pamoja na kuweka vijana ila nawe usikosekane mara kwa mara,,,mm binafs nataka kulima mwaka huu na nmejarib kuuliza uliza naona maeneo ya morogoro bado maeneo yapo mengi tu ila sijajua haswa hii migogoro ya wakulima na wafugaji ipoje kwa kweli...unaweza wekeza muda na hela zako kumbe sehem zenyewe zina migogoro ikawa hasara mara dufu...Nami napenda sana kilimo na nina basic knowledge japo si practice kutokana na kubanwa na majukumu mengine, but nafikiria kupata maeneo makubwa kiasi niweke vijana wasimamie
Ni kweli green house ni salama lkn huwezi kumudu eneo kubwa ni gharama sana, nafikiri ni vyema kuanza na kilimo cha kawaida ukilenga baadae uwe na green house.Yaa wazo zuri,,pamoja na kuweka vijana ila nawe usikosekane mara kwa mara,,,mm binafs nataka kulima mwaka huu na nmejarib kuuliza uliza naona maeneo ya morogoro bado maeneo yapo mengi tu ila sijajua haswa hii migogoro ya wakulima na wafugaji ipoje kwa kweli...unaweza wekeza muda na hela zako kumbe sehem zenyewe zina migogoro ikawa hasara mara dufu...
Hiv kilimo cha green house kina gharama kubwa sana,,maana naona kama kina usalama zaid kuliko hiv vingine
Yaa wacha nijaribu kupambana huku chini kwanza kabla ya kufikiria kutimiza ndoto ya green house, maana mali siku zote ipo shambani, nashukuru sana kwa time yako bro QUIGLEY naiman tunaweza kutana shambani siku moja.Ni kweli green house ni salama lkn huwezi kumudu eneo kubwa ni gharama sana, nafikiri ni vyema kuanza na kilimo cha kawaida ukilenga baadae uwe na green house.
Morogoro kwa hakika yapo maeneo yenye mito yanayofaa kulimwa majira yote
Amen, kila la heri kwako Xav beroYaa wacha nijaribu kupambana huku chini kwanza kabla ya kufikiria kutimiza ndoto ya green house,,maana mali siku zote ipo shambani,,nashukuru sana kwa time yako bro QUIGLEY naiman tunaweza kutana shambani siku moja...One love
hongera mkuu kwa hatua kubwa uliyopigaMkuu na mm nalima na ni mwanafunzi chuo cha st.joseph nipo hapa nalima morogoro hekari mbili za mahindi na yamekua saivi kama vip karibuni mjinyakulie mashamba kwa hekari moja laki tano na jumla nimetumia laki tisa tu mpaka yalipofikia na pia kuna alizeti kwa hekari moja na jumla nimetumia 1.8 kwa hekari mbili pamoja na mahindi.
View attachment 504081View attachment 504082
ELNIN0, Mrejesho mkuu......
Mkuu, nimekutumia private massage, naomba uingie usome kama hautijali. Ntashkr nkiona feedback. AsanteThanks FristLady1 kwa moyo wako wa kutaka ushirika - kazi ni ngumu kidogo lazima u dedicate at least 4 days kila mwezi kwenda site kufanya physical monitoring. kule ni camp bado kwa hiyo utahitaji kwenda na Maji ya kunywa for those days, safari bed na vitu vingine personal.
Chakula ni Local food, hakuna umeme, maji ya kuoga ni ya kisima (local), rafiki zako kwa those 4 days ni ndege - its real camping life - ni kama vile Maisha plus
Its great vision of being rich . I'm really pleasedJF