Wapi maeneo mazuri zaidi kwa kilimo cha mahindi SUMBAWANGA?

Mc PIPI

JF-Expert Member
Feb 25, 2020
319
428
Salamu kwenu wakuu.

Nipo kwenye plan ya kulima mahindi sumbawanga kwa msimu ujao.

Kwanini iwe SUMBAWANGA?
Nimeichagua SUMBAWANGA kwa kuwa inasifika kwa kuwa mahindi na maharagi hayamtupi kabisa mkulima.

Sasa Mimi ni mgeni kabisa huko,basi kama yasemwayo ni kweli nipo hapa kupata maoni ni kona ipi ya SUMBAWANGA ndo itakuwa the best? Ili kati ya June au July niende nikasurvey kabisa.

Nitashukuru sana kwa michango yenu.
 
1. Wilaya ya kalambo, yote nenda Hadi mpakani mwa zambia huko
2. Namanyere huko, Sumly amefanya uwekezaji mkubwa kwenye kilimo cha mahindi.
NB ghalama za uendeshaji wa hii miladi ya kilimo si mikubwa mno ukilinganisha na mikoa mingine
 
Asante kwa ushauri,
Mashamba wanauzaje huko?
 
1. Wilaya ya kalambo, yote nenda Hadi mpakani mwa zambia huko
2. Namanyere huko, Sumly amefanya uwekezaji mkubwa kwenye kilimo cha mahindi.
NB ghalama za uendeshaji wa hii miladi ya kilimo si mikubwa mno ukilinganisha na mikoa mingine
Mkuu, ulifanikisha?
 
Back
Top Bottom