Wakuu salaam.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi am about 36 now na kila nikiwaza after 20 years nitakuwa na maisha gani kwa maana kiuchumi, sipati jibu sahihi. Pia kila nikiwaza hivi viumbe ninavyoendelea kuvifyatua (na of course speed yangu nzuri) wakikua watakuta nini cha kujivunia kutoka kwa baba yao (mimi) sipati jibu sahihi pia. Nahisi watanitukana sana hawa watoto kimoyomoyo kwamba dingi alizingua sana wakati wa ujana wake.
Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri na miongozo kuhusu hiki kilimo cha miti maana ndio fursa ninayoifikiria kwa sasa. Nafikiria kufanya hiki kilimo maeneo ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma so kwa wataalamu wa miti na hali ya hewa, ni miti gani inaweza kukubali kwa maeneo haya? Shamba lipo kama heka 30 nafikiria by 2025 nipande hizo heka. So kabla sijakurupuka naombeni ushauri na maelekezo yenu wadau karibuni sana.