Nimeamua kula sahani moja na MAFREEMASONS.....

Nimeamua kula sahani moja na MAFREEMASONS.....

Umenena vyema cheusimangala
Watz ni mabingwa wa kushabikia mambo wasiyoyajua na kumbatiza kila mtu freemason
Hili lachangiwa na elimu lakini pia hata exposure ya wengi.
Mtu akiona kanumba kaigizi hivi basi inakuwa mtaani kila alie na fedha ni freemason
OTIS nadhan utanielewa niliposema kwamba hii inaweza kusababisha hata tukachinjana maana kama ile movie tu ya devil kingdom watu wanaamini eti imefichua siri za freemasons,hapo kweli elimu na exposure inahusu sana maana kama hata movie watu hawawezi kujua si kitu cha kweli ni maigizo tu.Usishangae wakaibuka matapeli wakidai ni agents wa freemason tanzania ambao wanaweza kuwafanya watu matajiri ambapo mtu itabidi labda kwa mfano ununue kadi ya uanachama au hata wapo wehu wanaoweza kuwaambia watu ili upate utajiri wa freemason inabidi ulete kiungo fulani cha binadamu.Amin usiamini wapo watu wengi wanatamani wawe freemasons ili watajirike.
 
Last edited by a moderator:

Hili ni tatizo kubwa kwani watu wanatafuta short cuts za maisha ndio maana hawakawii kunyooshea wenzao vidole kuwashutumu ni freemasons pindi wakipata breakthrough ya maisha.
Maskini kanumba wa watu kajiigizia zake lakini watu walivyoelewa hadi inatia huruma.
Lakini uzuri hadhira kuu ya muvi za kibongo inakabiliwa na changamoto za elimu,exposure,uelewa mdogo nk ndio maana haya yote yanajitokeza.
Pita mtaani kwenye vijiwe vya kahawa,saluni za kike na za kiume,mpirani,kwa house galz,mama wa nyumbani nk..story zao ndio hizi na wala haishangazi sana kutokana na sababu hizo tajwa.
kwa leo yatosha nadhani cheusimangala
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom