Nimeamua kula sahani moja na MAFREEMASONS..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kula sahani moja na MAFREEMASONS.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by cheusimangala, Apr 26, 2012.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,nimewajua freemasons muda kidogo hata kabla mtandao haujawa sehemu ya mawasiliano kwa watanzania.Mwanzoni nilikua nafahamu kwamba ili uwe freemason ni LAZIMA uwe TAJIRI MKUBWA na mtu mzito katika jamii.Nilijua kwamba Freemasons hawakufanyi tajiri lakini ni mtandao unaowafanya watu wazito duniani kama kina Bill Clinton,Jay z,Obama Queen Elizabeth na wengine kama hao kuwa Powerful pindi wanapokua members maana wote tunajua umoja ni nguvu sasa imagine umoja wa watu wenye nguvu duniani unavyoweza kuwarahisishia member wake kuwa untouchable na pia kwa pamoja kuweza kuicontrol dunia.Mtu kama Kanumba au Richard Mziray wana pesa gani ya kuwafanya wawe kundi moja na jay z na bill clinton ambao wanasemekana ni mafreemason?

  Kinachonichekesha ni kwamba tokea watanzania tujue ufreemason basi kila kitu ni cha mafreemason kila mtu ni freemason yaani hadi waendesha maguta na wachoma kuku eti nao ni mafreemason kisa wanaweka swaga za vidole za kifreemason wakati ni utamaduni wetu kuiga iga kila kitu anachofanya gangster wa marekani,nakumbuka enzi Nelly anaweka kiplaster usoni kila mjanja wa kibongo naye aliweka bahati mbaya enzi zile wabongo walikua hawajaujua ufreemasson maana ile pia ingeambiwa ni sign ya freemason.

  Wabongo naona mnakuja kasi sana na ulimbukeni wa kujifanya kuujua sana ufreemason ila taratibu tu tusije tukakolewa na hii imani hadi tukafikia kuwachoma jirani zetu kwa kuwahisi wanamuabudu Shetani kisa labda baba na watoto wao wanavaa t.shirt kama zile za Kanumba.Sina imani na wabongo linapokuja swala la kuamini mambo ya kipuuzi ndo maana wazee wetu walichomwa moto eti kisa wana macho mekundu hivyo ni wachawi,mngewanunulia majiko ya umeme waache kupuliza kuni wakati wa kupika muone kama wangekua na hayo macho mekundu.

  Sasa hivi Cheusie nikipata kautajiri ka ghafla kasikoeleweka chanzo chake watu wataanza yule ni freemason,huoni hata avatar yake iko kifreemasson kabisa kumbe mim labda ni muuza madawa ya kulevya,jambazi au fisadi.Sasa hamuoni ufreemason unaweza kuwa kivuli cha majambazi,wauza unga na mafisadi kujilia vyao bila bugtha maana bora kama mim ni muuza unga au jambazi lakini jamii yangu ikaniona kuwa mim ni freemason si salama kwangu maana ufreemason sio uvunjaji wa sheria.


  Bado najichunguza kujua kama Kibongo bongo na mim ni freemason au la.
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  makubwa!
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wee nawe unazeeka vibaya
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  cheusingala kama unawasema sema watakujia bila wewe kutaka na hapo ndo unapokuwa kafara kwao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
 8. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umeshajisili na unataka shortcut ya degree zao?
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kila la kheli naomba uongee vizuri na OTIS atakusaidia..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Hufai kuwa JF
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Paxman soma vizuri uzi wangu.
  Kama kuwa kafara basi karibia watanzania wote watakuwa kafara maana sasa hivi kila mtu anadhani anawajua freemason.
  hata hiyo link mkuu uliyonipa nina uhakika wa asilimia zoote kuwa sio wa freemason wa ukweli,mim nina rafiki yangu ni mtu mzito kidogo huko majuu na yeye ni member wa hii organization.Anasema kwamba huwezi kujiunga na freemason mpaka mmoja wa ambao tayari ni member akupendekeze kisha viongozi wao watakuchunguza kuona kama unavigezo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ndetichia hujanielewa,tatizo mim ninaandikaga kwa lugha ya mafumbo na kufikisha jumbe zangu kwa njia ya utani mara nyingi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  acha porojo jiunge hapo ndo ujue link feki ama la.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mtu kujiaminisha yeye ni freemason hata kama siyo member hiyo ni ufreemason tu.mana kipo kwenye moyo wa mtu
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mr ALEYN mi nadhani wewe unaona hakuna hta mmoja anayefaa kuwa jf ndo mana hujagawa senksi hata moja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  siwezi kujiunga sbb najua hao ni matapeli tu
   
 18. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mafreemasons si watu matajiri na wazito sasa mbona huyo OTIS kajichokea sasa mim atanisaidia nin ndetichia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Mlevi kweli ni sawa na mtu hana kadi ya Chadema lakini ni mchadema maana yupo tayari kumtetea CDM.
  ur right ukiona leo freemasons wanazungumziwa sana jua kwao maendeleo. As they question they get educated and able to join.
  Ukiwa freemason hakuna dhambi duniani vyote ni mabadiliko ya dunia tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Aaa wapi......., labda kama we ndo umepanga kumtoa mwenzio kafara!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...