Nonsense.Jezi mpya za Simba SC zimekwamishwa kwasababu ya nembo ya mdhamini, jezi zilizotengenezwa mwanzo zilikuwa na mdhamini aliyepita, hivyo alivyokuja M - bet imebidi yafanyike mabadiliko, huu ndio ukweli halisi.
Unauliza Bange / Bangi Tarime Mkuu?Kwa hiyo Bosi aliyeletwa sasa ni Mwananchi ndio maana amekaza?.
Seriously!?Jezi mpya za Simba SC zimekwamishwa kwasababu ya nembo ya mdhamini, jezi zilizotengenezwa mwanzo zilikuwa na mdhamini aliyepita, hivyo alivyokuja M - bet imebidi yafanyike mabadiliko, huu ndio ukweli halisi.
Kujibu hili Swali lako na Kuthibitisha kuwa huyu denooJ ni 'damn Nut' na asitake Kushindana na Mimi GENTAMYCINE kuhusu kujua Mambo ya Simba SC na Mpira wa Tanzania ( Soka la Bongo ) ni kwamba jana tu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa Wasafi FM alikiri na Kusikika na Watu wote wenye Akili Kubwa na Timamu kuwa Simba SC ndani ya mwaka Mmoja ilikuwa inajua kuwa itaachana na Sport Pesa.Seriously!?
Kwamba hadi msimu unaisha simba ilikuwa haijui kuwa haitaendelea na na sportpesa? Kwamba mkataba na M bet mazungumzo yamefanyika chini ya miezi miwili?
Mwambieni Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' kuwa alipe Kodi Mzigo utoke Bandarini vinginevyo akina Sakho, Okra na Phiri Jumatatu ( Simba Day ) watacheza wakiwa Vidali Poo ( Vifua Wazi ) pale Estadio Du Mkapa sawa?Hizi ni Tuhuma za ukwepaji kodi bila ushahidi na tuhuma kuwa nchi yetu pale bandarini kodi zinakusanywa kutegemea na timu unayosapoti bila ushahidi.
Katika hili mashabiki wa simba hawatakiwi kujaribu kutafuta sababu ya kuitetea timu. Kuna uzembe mkubwa kwenye suala la jezi msimu huu. Ukweli ndo utafanya tupige hatua mbele na siyo kubebana bebana.Kujibu hili Swali lako na Kuthibitisha kuwa huyu denooJ ni 'damn Nut' na asitake Kushindana na Mimi GENTAMYCINE kuhusu kujua Mambo ya Simba SC na Mpira wa Tanzania ( Soka la Bongo ) ni kwamba jana tu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa Wasafi FM alikiri na Kusikika na Watu wote wenye Akili Kubwa na Timamu kuwa Simba SC ndani ya mwaka Mmoja ilikuwa inajua kuwa itaachana na Sport Pesa.
Naendelea Kusisitiza ukiona GENTAMYCINE naandika Jambo hapa liamini kwa 100% kwani Silaha Kubwa niliyonayo ni kuwa na Authoritative, Credible na Reliable Sources wa Deep Info katika Maeneo Mtambuka mbalimbali halafu nina Kipaji cha Kudadisi, Kumtega Mtu na kuvaa Uhusika fulani ( kuwa Kinyonga ) ili nikipate kile ambacho huwa nakuhitaji popote pale hata kama ni sehemu Hatarishi au yenye Vikwazo.
Narudia tena huo ndio ukweli, unaweza kuwa kwenye mazungumzo na mdhamini wa zamani, then ghafla akajitokeza mdhamini mpya, lazima umsikilize offer yake uijue, kama ukikubaliana nae unasaini nae mkataba, na hiki ndicho kilichotokea kwa Simba SC.Seriously!?
Kwamba hadi msimu unaisha simba ilikuwa haijui kuwa haitaendelea na na sportpesa? Kwamba mkataba na M bet mazungumzo yamefanyika chini ya miezi miwili?
Kweli mimi siwezi kushindana na ujinga wako, umeniacha mbali sana popoma.Kujibu hili Swali lako na Kuthibitisha kuwa huyu denooJ ni 'damn Nut' na asitake Kushindana na Mimi GENTAMYCINE kuhusu kujua Mambo ya Simba SC na Mpira wa Tanzania ( Soka la Bongo ) ni kwamba jana tu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa Wasafi FM alikiri na Kusikika na Watu wote wenye Akili Kubwa na Timamu kuwa Simba SC ndani ya mwaka Mmoja ilikuwa inajua kuwa itaachana na Sport Pesa.
Naendelea Kusisitiza ukiona GENTAMYCINE naandika Jambo hapa liamini kwa 100% kwani Silaha Kubwa niliyonayo ni kuwa na Authoritative, Credible na Reliable Sources wa Deep Info katika Maeneo Mtambuka mbalimbali halafu nina Kipaji cha Kudadisi, Kumtega Mtu na kuvaa Uhusika fulani ( kuwa Kinyonga ) ili nikipate kile ambacho huwa nakuhitaji popote pale hata kama ni sehemu Hatarishi au yenye Vikwazo.
Mbona nduguyo genta kasema jana msemaji wenu kakiri kuwa mipango ya kuachana na sportpesa ilikuwepo mwaka mmoja kabla.?Narudia tena huo ndio ukweli, unaweza kuwa kwenye mazungumzo na mdhamini wa zamani, then ghafla akajitokeza mdhmini mpya, lazima ummsikilize offer yake uijue, ukikubaliqna nae unasaini nae mkataba, na hiki ndicho kilichotokea kwa Simba SC.
Sina undugu na huyo popoma, huyo ni mropokaji anayetumia uwezo mdogo wa kuhoji wa wengi wenu humu ndani kuwalisha matango pori, akiulizwa maswali mazito anabadilisha story badala ya kuyajibu.Mbona nduguyo genta kasema jana msemaji wenu kakiri kuwa mipango ya kuachana na sportpesa ilikuwepo mwaka mmoja kabla.?
Na kiuhalisia, ni ngumu kufanya majadiliano ya mkataba kama ule wa m bet kwa kipindi cha chini ya miezi miwili.
Mwanzo ulisema ( ulidanganya ) tena kwa Kubisha kuwa Simba SC ilikuwa haijui kuwa itaachana na Sport Pesa na kwamba imejua tu hivi karibuni.Narudia tena huo ndio ukweli, unaweza kuwa kwenye mazungumzo na mdhamini wa zamani, then ghafla akajitokeza mdhamini mpya, lazima umsikilize offer yake uijue, kama ukikubaliana nae unasaini nae mkataba, na hiki ndicho kilichotokea kwa Simba SC.
Suala la jezi kurekebishwa hilo ni jambo dogo sana, haliwezi kuizuia klabu kuingia mkataba wa bilions of money.
Wape baba! Wape vidonge vyaooo! Wakimeza wakitema, hiyo ni shauri yao.Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.
Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye pia ni mwana Simba SC ) na alipanga Kuingiza Mzigo ( Jezi ) bila kulipa kabisa Kodi au kutoa Kodi Kiduchu tu.
Ukweli ni kwamba Jezi zimekwama Bandarini na Boss Mpya wa TPA 'amekaza' na anataka Kodi ya Serikali ilipwe vinginevyo hazitatoka na huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.
Mmenikera GENTAMYCINE na Kunidanganya kuhusu Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kufanya 'Nikeshe' leo kama 'Popo' na sasa 'Nawaanikeni' rasmi.
Kucheza kidali poo si suala la kukusumbua wewe, ni suala la wanasimba.Mwambieni Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' kuwa alipe Kodi Mzigo utoke Bandarini vinginevyo akina Sakho, Okra na Phiri Jumatatu ( Simba Day ) watacheza wakiwa Vidali Poo ( Vifua Wazi ) pale Estadio Du Mkapa sawa?
Walipe Kodi hakuna Janja Janja hapa.
Jibu lako.....Kweli mimi siwezi kushindana na ujinga wako, umeniacha mbali sana popoma.
Hebu jibu hili, huyo Ahmed Ally wakati akihojiwa huko Wasafi FM aliwaambia Simba SC wakiachana na Sportpesa watasaini mkataba na mdhamini gani?
Kama ulikuwa humjui mdhamini, na hujui mazungumzo yalivyokuwa yakiendelea, hapa unaropoka tu, jifunze kufunga domo lako.
Heheheiyaaa, nicheke mie jamani huyu kaka/dada GENTAMYCINE anajifanya kila kitu anajua yeye, yaani hakuna ambacho hajui. Loh