Jezi ya Simba SC itakayozinduliwa leo ni ya Kuchukua Vikombe vyote na siyo za Kuishia Fainali na Kulalamika kuhujumiwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters

Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha.

Pia kuna uwezekano hata Marais wa Marekani Joe Biden na wa Ufaransa Emanuel Macron wakampigia Simu Rais wa Tanzania Samia Hassan wakiomba Simba SC iende katika Ikulu zao kwa Mualiko Maalum.

Shikamoo Sandaland kwa Jezi Kali!!!!
 
jezi nayo itacheza kufunga,kukaba Kila kitu
 
tusubiri tuone

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom