Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

mm sijahi kununua simu dukani...nanunua za wizi tu,napata ata ipone 7 kwa laki na nusu so sijisumbuagi na upuuzi mingine
Siku zote hakunaga dhambi ya bei mbaya...ngoja ss tununue waje kutuibia wakuletee wewe, ipi siku tutajikuta nyeti zako zinehama sijui utamdai nan
 
Huyu jamaa mbona hajibu hizo cm zinapatikana wapi
Ninayo moja used na ipo katika ubora mkubwa, nimetumia miezi mitatu tu, kwa anayehitaji tuwasiliane PM, only sserious buyer.

Hizi simu zinatoka Kenya hivyo sokoni bado hazijaenea sana.
 
Siku zote hakunaga dhambi ya bei mbaya...ngoja ss tununue waje kutuibia wakuletee wewe, ipi siku tutajikuta nyeti zako zinehama sijui utamdai nan
Mazee oppo yangu waliniibia aisee... Ila kwakuwa naipenda sana nililipia waitrack polisi nasasa ishapatikana. Na fidia nmelipwa juu!!!
 
Mazee oppo yangu waliniibia aisee... Ila kwakuwa naipenda sana nililipia waitrack polisi nasasa ishapatikana. Na fidia nmelipwa juu!!!
Dah pole sana kiongozi! Uliweka security gani au ulitumia IMEI namba
 
Zote bei ni chini ya laki mbili na nusu. Ujanja wako tu wa ku negotiate. Mi nmechukua yangu laki 2 kwa na ya bibie kwa laki 2 na hamsini halafu nipo moshi. Kwa Dar pengine itakuwa cheap zaidi.
Umenunua Moshi duka gani !
 
Dah pole sana kiongozi! Uliweka security gani au ulitumia IMEI namba
IMEI Number tu mchezo kwisha yani. Huwa nina records ya simu zangu zote nilizowahi tumia google. So nikitaka tu IMEI nina retrieve info za simu husika.
 
mkuu naomba address vizuri kuna jamaa yangu yuko moshi nahitaji nimpe hii kazi aniletee na ni kiasi gani naweza pata

Maduka ni mengi pale stand flow ya juu ya ghorofa. Kukwambia ni duka gani exactly kwa jina ni mtihani sikukariri ingawa naweza kukuonesha tukiwa physically.
Pia price andaa laki 2.5 max kwa hizo model kama nilizonunua mie.
A33 ni laki 2 max na A37 hio ni laki 2.5 max!
Negotiations zipo pia...So ongea na kijana wako huyo mufanye mpango wa kuchukua mali.
 
Msaada tafadhali,tofauti na mada.ambao tayari mmewahi kuagiza vitu kama simu nk online kwenye mitandao kama aliexpress,ebay mnatumia anuani gani kupokelea bidhaa mlizoagiza maana nimejaribu kuagiza anuani niliyotumia ni ya kampuni ninayofanyia kazi sasa nina wasiwasi na watu wa posta maana kuna malalamiko mengi yanayowahusu kwamba vitu vya thamani vinapoteleaga mikononi mwao baada ya kufika kwao.nanao uwezo wa kufungua anuani binafsi ya posta ila hilo tatizo ndio linanitatiza.sasa nilikuwa naomba msaada wa njia nzuri ya kupokelea parcel kama ipo.

NB.nimependa utaratibu wa kampuni ya KIKUU,wao wanatumia sana mawasiliano ya simu na unaletewa mzigo wako mpaka sehemu ulipo hii inasaidia hata kwa ambae hana anuani anaweza kufanya manunuzi.
 
Back
Top Bottom