Wewe nini, hiki.. Simu limepasuka sreen unatumiaje sasa.. Kheee watu mna roho ngumu aiseeeMie nimenunua Moshi huku, possibly zimetoka Nairobi
Watoto wa masaki wanatambo hawa...Mimi sikuwahi kutumia tecno hapo kabla ila nililazimika kununua baada ya simu yangu kufa na mimi kukosa mawasiliano ghafla. Ni kama wiki tatu au mwezi sasa natumia tecno ila nimechoka kabisa.. Kwanza ilianza kichefuchefu kama siku tatu tu baada ya kuinunua. Nikichomeka earphones simu inaanza kuongeza sauti yenyewe vuuup..!! Hujakaa sawa inapunguza yenyewe hadi kimyaa..!! Mara inaji-pause. Yani huwezi kusikiliza wimbo hadi ukaisha bila kituko kutokea. Mwanzo wakati nainunua chaji ilikua inakaa kama masaa 12 hivi.. Cha ajabu sasa hivi nikitoka asubuhi na 100% saa nne nna 60% saa nane chaliii! Cha mwisho kilichonimaliza kabisa ni internet yake. Nikiingia ndani tu kwisha sipati internet kamwe..! Simu hii ni mpya lakini inastaki staki balaa yani daah.. Kuna saa mtu akikupigia uki swipe kupokea hamna kinachotokea. Hadi simu inakatika. Ukiwa unasikiliza mziki volume iko katikati ukianza kuongeza volume, yenyewe inapunguza kwanza halafu ndio inaanza kuongeza..!!
Mwisho hii brand yani ni haina prestige kabisa aisee. Mi kuna maeneo yani hadi naogopa kutoa simu hadharani. Yaani yeboyebo simu moja ikiita kila mtu anatoa yakwake kuangalia..!! Tecno sina hamu nayo..
Mkuu naitaji moja, naipata wap hapa bongoOppo ni copycat ya iPhone...
Ni simu nzuri sana... Sio China tu bali UK zinauza sana na nchi nyingine kama Australia.
Tecno Wereva hazitambuliki kabisa kimataifa... Hata ukicheki reviews za simu kuanzia GSMARENA,CNET,PHONEDOGS,PHONEARENA,TECHRADAR na nyingine kibao... Tecno haitambuliki.
Kiufupi hata China kwenyewe Tecno hawaitambui.
Enjoy OPPO.
Pole sana mkuu Tecno imetengenezwa kwa ajili ya wa lala hoi wa africa tu hairuhusiwi kuuzwa bara jingine tofauti na Africa china soko la ndani ni marufuku kuuzwa kaa nayo mbali sana inatema radiation !!!!Mimi sikuwahi kutumia tecno hapo kabla ila nililazimika kununua baada ya simu yangu kufa na mimi kukosa mawasiliano ghafla. Ni kama wiki tatu au mwezi sasa natumia tecno ila nimechoka kabisa.. Kwanza ilianza kichefuchefu kama siku tatu tu baada ya kuinunua. Nikichomeka earphones simu inaanza kuongeza sauti yenyewe vuuup..!! Hujakaa sawa inapunguza yenyewe hadi kimyaa..!! Mara inaji-pause. Yani huwezi kusikiliza wimbo hadi ukaisha bila kituko kutokea. Mwanzo wakati nainunua chaji ilikua inakaa kama masaa 12 hivi.. Cha ajabu sasa hivi nikitoka asubuhi na 100% saa nne nna 60% saa nane chaliii! Cha mwisho kilichonimaliza kabisa ni internet yake. Nikiingia ndani tu kwisha sipati internet kamwe..! Simu hii ni mpya lakini inastaki staki balaa yani daah.. Kuna saa mtu akikupigia uki swipe kupokea hamna kinachotokea. Hadi simu inakatika. Ukiwa unasikiliza mziki volume iko katikati ukianza kuongeza volume, yenyewe inapunguza kwanza halafu ndio inaanza kuongeza..!!
Mwisho hii brand yani ni haina prestige kabisa aisee. Mi kuna maeneo yani hadi naogopa kutoa simu hadharani. Yaani yeboyebo simu moja ikiita kila mtu anatoa yakwake kuangalia..!! Tecno sina hamu nayo..
Kwa wajomba china!Nchi gani?
Mkuu inawezekana ni kweli maana tangu nianze kutumia hii TECNO homa za mara kwa mara, kuharisha, na magonjwa mengi nyemelezi yamekua yakiniandama saana..Pole sana mkuu Tecno imetengenezwa kwa ajili ya wa lala hoi wa africa tu hairuhusiwi kuuzwa bara jingine tofauti na Africa china soko la ndani ni marufuku kuuzwa kaa nayo mbali sana inatema radiation !!!!
[emoji81] [emoji81]Mkuu inawezekana ni kweli maana tangu nianze kutumia hii TECNO homa za mara kwa mara, kuharisha, na magonjwa mengi nyemelezi yamekua yakiniandama saana..
Upo wapi bossSasa hapa bongo oppo naipata wapi wakuu??
Kigamboni kkUpo wapi boss
Hahahaha kaa nayo mbali kitu ambacho china hakitumiki ni hatari!!!Mkuu inawezekana ni kweli maana tangu nianze kutumia hii TECNO homa za mara kwa mara, kuharisha, na magonjwa mengi nyemelezi yamekua yakiniandama saana..