Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Kama simu yangu ni 64-bit halafu ina ram ya 1GB,je kuna Faida yeyote ambayo nitaipata Kwanye hiyo simu mkuu?
walipoanza kutengeneza soc za 64bit waliacha kabisa kutengeneza za 32bit hivyo soc za 64bit ni mpya na zina nguvu, cortex a53 ina nguvu kuliko cortex a7 na cortex a72 ina nguvu kuliko cortex a15

japo sio technical ila ndio uhalisia wa soki simu ya 64bit ina nguvu kuliko 32bit.

pia android walieka runtime mpya inaitwa art ambayo ilireplace ya zamani dalvik ambayo ni 32bit, kama umetumia android zamani enzi kabla ya kitkat utaona ilikuwa slow sana, ni soc za 64bit na art ndio zimefanya simu kuwa na speed.

pia kuna mambo mengine technical kama security, issue za madeveloper etc
 
Back
Top Bottom