Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

Karibuni wana jamvi napata ugali na samaki mkuubwaa sana nimealikwa rafiki yangu hapa kirumba ama kweli wana mwanza mna upendo na ukarim kwa wageni

safi sana, uliza sifa ya kwanza ya msukuma. utaambiwa ni ukarimu,kweli tumejaaliwa ukarimu na upendo kwa wageni hasa upande wa maakuli. . . . karibu tena na karibuni mwanza wageni kwa wenyeji!
 
Huwa naomba mtoto wangu mmoja aolewe na msukuma! Mwenye hofu ya MUNGU, lol!
 
unapima ukarimu kwa ugali..!! bila shaka umetoka dodoma
 
Rutashobolwa sina maana hiyo tokea nmefka jana vitu walivyonifanyia cna budi kusema wana ukarim
 
safi sana, uliza sifa ya kwanza ya msukuma. utaambiwa ni ukarimu,kweli tumejaaliwa ukarimu na upendo kwa wageni hasa upande wa maakuli. . . . karibu tena na karibuni mwanza wageni kwa wenyeji!

mmewazidi watu wa Mbeya?
 
Back
Top Bottom