Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

hahaaaaaa watu 8 naona una yako ww me mwenyewe m2 wa tanga tena makorora wadekaaaaaaa

hahaha si wajua ukikutana na binti wa Kidigo, utabebwa mgongoni, utakoshwa na maji ya hiliki, utapakwa na marihamu nzuri...halafu utapewa dozi barabara kunako18
 
Dingi Baba V naomba uelewe Erickb52 amejimuvuzisha mpaka mkoa wa baba wa taifa na yuko bize na kujenga taifa. Nway atarudi MZA baadaye kidogo.
Arushaone umenishtua aisee dah hapa sisemi neno. Halafu hawa jamaa huwa hawapatikani ukimwambia umerudi mwanza atasema yuko geita hata km yuko town. Vp kwema chuga?
 
Last edited by a moderator:
Naam Ndio asili na tamaduni za wasukuma mkuu...wao huwa ni wakarimu sana.
 
Arushaone umenishtua aisee dah hapa sisemi neno. Halafu hawa jamaa huwa hawapatikani ukimwambia umerudi mwanza atasema yuko geita hata km yuko town. Vp kwema chuga?

hahaha b52 bana! Mi nipo huku mwanza vijijini panaitwa Nhundya......njoo basi unisaidie kuandaa mashamba!
 
Last edited by a moderator:
safi sana, uliza sifa ya kwanza ya msukuma. utaambiwa ni ukarimu,kweli tumejaaliwa ukarimu na upendo kwa wageni hasa upande wa maakuli. . . . karibu tena na karibuni mwanza wageni kwa wenyeji!

Ila kwa uchawi wasukuma nao si haba....mwendo wa kusafiria fisi mtindo mmoja! Lol
 
hahaha b52 bana! Mi nipo huku mwanza vijijini panaitwa Nhundya......njoo basi unisaidie kuandaa mashamba!

Hahahahaa Kipipi uandae mashamba? Lol hebu fanya mpango uje mwanza weekend aisee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom