cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,241
- 1,586
Atasahaulikaje wakati ndo chanzo cha vuguvugu za uhuru wa bendera tulioupataHata Hitler hasahauliki kihistoria.
Atasahaulikaje wakati ndo chanzo cha vuguvugu za uhuru wa bendera tulioupataHata Hitler hasahauliki kihistoria.
JPM kaacha maumivu ambayo hayatibiki huko aliko nadhani anataabika tuuJPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini
Hata wewe ukiwa rais halafu ukaharisha hadharani kila siku na kufa ghafla watu watazungumza sana tu.JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini
Mkuu si alikua analala kwamba KAZI ngum alisukumizwa, tiyari mmeanza msahauUna uhakika gani kwamba yeye hakuamua kwa dhati toka moyoni?
Pole weeeeJPM kaacha maumivu ambayo hayatibiki huko aliko nadhani anataabika tuu
Hata wewe ukiwa rais halafu ukaharisha hadharani kila siku na kufa ghafla watu watazungumza sana tu.
Ndiyo nature ya kazi za kuuza sura.
Sawa, lakini hilo halimaanishi rais awaambie raia wabaki na mavi yao majumbani mwao, wasichafue vyoo vya serikali.Kila mtu ana vile anavyopokea sio wote wanakuamini na kukukubali na sio wote wanaweza kukupinga pinga
Nikawaida katika ulimwengu huu kwa mtu aliekufa na kuzikwa fikrazake kugonga vichwa va watu tena kwa kurithiyana vizazi hadi vizazi, hiyo tena haichagui kama huyo mtu kafanya mabaya au mazuri mfano akina Hitler, Farao, Idi Amin, Mama Teresa wa Calcutta, Mandela, Kwame nk.Kwa mtu aliyekwisha kufa na kuzikwa, hakika bado amezitawala fikra zenu!
Manake mmeshindwa kabisa kumzika ndani ya hizo fikra zenu duni mlizonazo.
Kila kona Magufuli ndo gumzo!
Sawa, lakini hilo halimaanishi rais awaambie raia wabaki na mavi yao majumbani mwao, wasichafue vyoo vya serikali.
Huyu jamaa aliudhalilisha sana urais wa Tanzania.
Waacheni watu waseme hata miaka 100.
Nyerere alijitahidi kutenda na kusema kwa heshima, na mpaka leo watu wanamsema.
Itakuwa huyu gubegube?
Ukikubali kuwa rais umekubali kusemwa kwa mazuri na mabaya miaka na miaka.
Kama hutaki kusemwa una chill na kukataa uongozi kama Kiranga.
Fine.Nikawaida katika ulimwengu huu kwa mtu aliekufa na kuzikwa fikrazake kugonga vichwa va watu tena kwa kurithiyana vizazi hadi vizazi, hiyo tena haichagui kama huyo mtu kafanya mabaya au mazuri mfano akina Hitler, Farao, Idi Amin, Mama Teresa wa Calcutta, Mandela, Kwame nk.
Bado haibadilishi ukweli kwamba alikuwa na maneno ya kunya.Kiranga halafu ujue hao watu hawajabaki nayo nyumbani kila siku wanalipia huduma ya vyoo kama ilivyopangwa
Hata sisi wa kigamboni hatujawahi piga mbizi, tunalipa ile miambili tuliyokua tunailalamikia kwamba hatutaweza kuilipa
Tofauti ya JPM ni kwamba hukuwaga na majibu mawali, wala hukuwa na majibu ya kutumbeleza kinafki. Yeye kwake NDIO HAPANA ilimaanisha NDIO, na HAPANA ilimaanisha HAPANA
Mtu akigombea urais kashakubali kutajwatajwa maisha yake yote nq mpaka baada ya naisha yake.Fine.
Sina tatizo na hilo.
Ila sipendi huu unafiki wa hao nyumbu.
Wengine wakimzungumzia Magufuli, wanaambiwa kwamba hata waseme nini, hatoweza kurudi maana keshakufa, kazikwa, na keshaanza kuoza na hatorudi tena.
Kwani nani asiyelijua hilo?
Absolutely churlish and disgusting.
Sasa kwa nini na wao nyumbu wakimzungumzia wasiambiwe kwamba amewajaa kwenye fikra zao licha ya kwamba wanamchukia?
Ukweli ni kwamba wako fixated naye! Na kwa mtu wanayemchukia kama wanavyodai, hakika wanaendelea kusaidia kuihifadhi kumbukumbu yake.
Bahati mbaya sana wengi wenu hamjui legacy ina pande mbili, positive na negative. Kwahiyo kila mmoja wetu ana namna yake ya kumkumbuka Hayati iwe kwa wema au kwa ubaya wake.mama D, wanaoacha legacy wanajulikana tu hata kwa kile wanachoandika. Huyu kwa mtiririko wa mawazo yake tu unajua kabisa kwamba hapa hakuna kitu.
Akiacha legacy unitag, please!
Mfano hai ni tundu lissuAliendesha nchi kwa Mkono wa Chuma!! Ukienda vs naye lazima upotezwe kwenye ramani ya siasa au dunia.
Sina kabisa tatizo na hilo.Mtu akigombea urais kashakubali kutajwatajwa maisha yake yote nq mpaka baada ya naisha yake.
Kama mtu hataki kitajwatajwa asigombee urais.
Magufuli kutajwa ni fair and square.
Yani nafikiri hata yeye mwenyewe jinsi alivyopenda kuvamia mic mpaka kanisani angeweza kujua kafa halafu watu hawamtajitaji angesikitika sana.
Watu wanawataja Cyrus The Great na Caligula mpaka leo mbona?
Kama haya ni ya kweli basi kazi ipoAlimpiga risasi ya kichwa na kusambaza ubongo wa Ben saanane, tena ndani ya ikulu kabisa yule mzee hakuwa binadamu wa kawaida.
Bado haibadilishi ukweli kwamba alikuwa na maneno ya kunya.
Yani si kitafsida tu, aliwaambia watu wabaki na mavi yao nyumbani, aliwasimanga wananchi kwa maneno ya kunya.
Na wakimsema hata miaka 100 ni sawa tu.
Kuna mfalme mmoja wa Warumi, kichaa, alikuwa anaitwa Caligula.
Alifariki 41 AD. Yaani miaka takriban kama 10 hivi baada ya kifo cha Yesu kwa mujibu wa historia.
Lakini mpaka leo miaka 2,000 imepita, watu wanazungumza vituko vyake bado.
Itakuwa huyo Magufuli Caligula wetu kafariki juzi tu hapo?
Sitashangaa akiwa gumzo miaka na miaka.
Each and every thing you know about his legacy wether its good or bad. The chapter is closed and won't be erased regardless there are minorites dislike him.Haya yeye asiyebembeleza kavuna nini? Jiwe was the curse to our motherland
Hahahahaha your disordered.Alimpiga risasi ya kichwa na kusambaza ubongo wa Ben saanane, tena ndani ya ikulu kabisa yule mzee hakuwa binadamu wa kawaida.
Ata Nyerere alifanyiwa unafki mkubwa. Uongozi ni kushirikisha watu kwenye maamuzi na kucha mifumo ifanye kazi, hakuna miujiza