Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

Mimi natamani hata akifika mbinguni afe tena. Natulijia zile zilikuwa mbio za sakafuni mwisho wake tuliujua.
Pale Kimara-Kibamba 130 meters left & right, 20km long alivunja nyumba zaidi ya 4000 bila fidia. Wakazi pamoja na wafanya biashara zaidi ya 45,000 wakavurugwa na wengine wakafariki eti anapanua barabara. Eventually, ni barabara yenye added width ya 15 meters left & right. Wasn't reasonable but strongman...
 
Aliyeokota ni nani wakati JPM alifanya watu wakawa machizi pamoja na (UKAWA) kuungana... Ref Mzee wangu Lowassa anapigwa antdop

Maybe he managed to intimidate you, but personally I strongly appreciated his approach to the civil servant who without his style wouldn't make anything. M-bongo ukimbembeleza utavuna mabua... Muda utakujibu.
Haya yeye asiyebembeleza kavuna nini? Jiwe was the curse to our motherland
 
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
Although the goods deeds are buried with the individual, but the evil prevail.
 
Huyu alikuwa Rais wa nchi sio kibaka wa Keko..utawala wake unaweza kuna na athari(-) vizazi na vizazi..mfano mmoja ni huu uamuzi wake wa kuruhusu watu kufanya biashara eneo lolote bila kusumbuliwa.

We can't stop talking about him,alikuwa Rais wa nchi hii kwa miaka mitano na miezi kadhaa.
Hata Hitler hasahauliki kihistoria.
 
Kama ni rahisi kama unavyoongea, Hebu na wewe jaribu kuuokota uraisi 2025🙄🙄🙄🙄
Mama D Mimi wakuokota kwa kusukumziwa sitaki, nataka wa kuamua mwenyewe kwa dhati toka moyoni ,wa kuokota KWA kusukumziwa inamadhara Sana Kama tuliyoyaona ,
 
Mama D Mimi wakuokota kwa kusukumziwa sitaki, nataka wa kuamua mwenyewe kwa dhati toka moyoni ,wa kuokota KWA kusukumziwa inamadhara Sana Kama tuliyoyaona ,

Una uhakika gani kwamba yeye hakuamua kwa dhati toka moyoni?
 
Back
Top Bottom