Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,121
2,000
Hayo ni mawazo yako na ni sawa kuwaza hivyo sababu sio mara zote watu hukubaliana

Ila ujue tuu 5% ya watanzania ndio wanaamini kwenye hayo uliyoandika. 10% ni wasikilizaji na 85% wanaamini JPM amekua kiongozi bora kuwahi kutokea
MWazo yangu ni yapi? Kwamba Caligula anasemwa mpaka leo?

Be specific.

Unaweza kunipa source ya kuaminika ya hizo asilimia ulizozitoa?

Ulipotakiwa kuwa specific hujawa specific.

Ambako umekuwa specific umetoa data bila source.
 
inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
1,963
2,000
sisi wengine tulikuwa real kabisa juu ya Dr. Magufuli, tulipenda maono yake lakini hatukupenda namna alivyokuwa anayatekeleza. rest in eternal peace baba. kama ambavyo ipo siku tutawajuwa wauwaji wa Ben na Azory na waliotaka kumuua Lissu, basi ipo siku tutajuwa kama ulikufa au uliuwawa? hakuna siri ya watu wawili.
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,064
2,000
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini
Kama kutajwa tajwa midimoni mwa watu ndio kuacha Legacy basi Farao (Firauni) wa Misri atakua aliacha LEGACY kubwa sana duniani ukiachana na maPYRAMID waliyoyajenga kuna mpaka baadhi ya matendo leo hii mtu akiyatenda yanaitwa ya kifarauni

Ipo wazi dhahiri shahiri kuwa viongozi wooote wandamizi, mawaziri, maRC, maDC woote hakuna hata mmoja alikua anafurahishwa na mambo ya MAGUFULI kwa sababu woote hao whether wapo kwenye uongozi au hawapo, mara baada ya MAGU kufa leo hii wanaanza kuhoji nankushangazwa na yale waliyo kuwa wanayahubiri

LEGACY my Ass Mxieusssszzzz!!!
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
12,294

Hao viongozi ni % ya wananchi?
Pita mtaani upate number kamili usipite kwenye mitandao inayotumiwa na watanzania 1.3 million pekee
 
Ranger9

Senior Member
Apr 27, 2021
143
500
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
Idi Amini pia kaacha legacy

Hitler pia kaacha legacy

Ni kijukuu chao Kimagufuli pia kimeacha legacy

Namaanisha:

Legacy ni mambo mema na mabaya,

Mfano: kujenga Uwanja wa ndege kijijini kwa kiongozi ni legacy

Na kumwua Ben Saanane na kula nyama yake pia ni legacy
 
Ranger9

Senior Member
Apr 27, 2021
143
500
Hao viongozi ni % ya wananchi?
Pita mtaani upate number kamili usipite kwenye mitandao inayotumiwa na watanzania 1.3 million pekee
Mitandao 1.3 millioni hawakushangazi

Ila unashangazwa na watu wawili au watatu unaokutana nao mtaani, interesting!
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
12,294
2,000
Idi Amini pia kaacha legacy

Hitler pia kaacha legacy

Ni kijukuu chao Kimagufuli pia kimeacha legacy

Namaanisha:

Legacy ni mambo mema na mabaya,

Mfano: kujenga Uwanja wa ndege kijijini kwa kiongozi ni legacy

Na kumwua Ben Saanane na kula nyama yake pia ni legacy

Kabla ya kumlinganisha JPM na watu wa ajabuajabu fanya utafiti

Na utafiti usiufanye twita au jf ambako kuna wananchi wasiofika 1.3 ingia mtaani ujionee na kusikia legacies

Upòoo?
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
12,294
2,000
Mitandao 1.3 millioni hawakushangazi

Ila unashangazwa na watu wawili au watatu unaokutana nao mtaani, interesting!

Sikutani nao mtaani ila mwenyewe personally naishi mtaani

Legacy inakuuma eee😂😂😂😂

Na wewe pambana uache yako
 
nusaki1974

Member
Apr 11, 2019
46
125
This is forum than is free of opinions i dont think it fare start calling people names than sharing your intellectual views if you will. Actualy I have not seen the connection between those abusive names and the few irrelevant linguistic symbols you have just wrote above. Try to be rational. Thanks
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,613

Huh??? 🤣🤣
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,302
2,000
Kwa mtu aliyekwisha kufa na kuzikwa, hakika bado amezitawala fikra zenu!

Manake mmeshindwa kabisa kumzika ndani ya hizo fikra zenu duni mlizonazo.

Kila kona Magufuli ndo gumzo!

Jiwe brainwashed the majority of the Tanzanian population!!! The Nation became a CULT! Nchi ilifika mahala Jiwe angewaambia waonje sumu wangeonja!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom