Utaaacha wanaume wangapi
Sikuja hapa kutafuta mwanaume ila kupunguza maumivu yangu.Na ndo mana hata PM yangu nimefunga sababu nililihisi hili maana wengine katika maumivu ya wengine huwa mnaona ndo sehemu ya kuongezea maumivu.
Fisi at workpole bi dada
wanaume wengine sio wema kwa wanawake
kama utahitaji ushauri zaidi njoo pm
Wew usijal mkuu mie now ndo naona umuhimu wa single mazaa hapa duniani hawaga shida kabisa wanahuruma sanaa.Hatuna tofauti we umeacha mahali ila nami ilikuwa ni mtu ambaye tushatambulishana pande zote na kama mipango ingekwenda sawa ilikuwa tufunge ndoa mwishoni mwa mwaka huu but kisicho ridhiki hakiliki.
Nilitaka nikutoe juani sasa unaapia tena hututaki, basi endelea kuumia ila ujue wenda huna sifa za kuwa mke, au unapenda mtu asiye size yako jitathimini shida iko kwako siyo yeye.Hichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.
Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
yaap na utahatika mtafutaji hachoki na akichoka kapata huyosafi sana!!, kila ikitoe fursa kama hz si za kuchezea kabisa, Nakumbuka ulivyoniambia ""Jaribu bahati yako" ndo mana najitutumua hapa mkuu.
Hichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.
Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
Acha upumbavu.Sio mume wangu ila mtu ambaye tushatambulishana pande zote na mpaka kwa wachungaji kanisani na mahari ilikuwa iletwe mwezi wa saba lakini katika yote bado sawa nakubali sistahili kujipa uhalali wa umiliki.
we kama hukusoma english medium usimwonee wivu mwenzio....[emoji38]pambana na hali yakoKwa hivi vingereza vyako vya bongo muvi utaachwa sana tu