Nimeamini mapenzi yanaua

Nimeamini mapenzi yanaua

Nanyinyi mmezidi mkipenda mnaingiza Hadi unyayo....mzima mzima....
 
Kwani hakuna wanawake wenye tabia hizo za kucheat? Iweje useme "wanaume most of them wana roho za kisatanic?"

Kabla ya kulaumu wanaume jaribu kujitafakari,nini kimepungua kwako mpaka huyo jamaa yako akucheat?

Tatizo ni nini mpaka akucheat? Kuna kitu anakosa kwako ndio maana kaenda kukitafuta kwa mwingine na ulitakiwa ulitambua hilo toka ulivyomkamata akikucheat mwanzoni kabisa.
Yampasa mwanaume ndo amwambie mapungufu yake ajirekebishe mkuu....
 
Ushauri mwengine ni wa kina na kuzamia kabisa

ila umepotea ww mwanamke watu wanashika nafasi yako humu

Niko busy.... huo ushauri wa kina na mie nahitaji huko PM [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio nini kumwita mwenzi punda... huachagi vituko lol
 
we kama hukusoma english medium usimwonee wivu mwenzio....[emoji38]pambana na hali yako
Mbona za kayumba pia zinafundisha English?
No English No service (hii kitu hatari sana. Hii ni kwa wababe tu)
Huyo hakwenda shule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom