Unataka umtongoze...?pole bi dada
wanaume wengine sio wema kwa wanawake
kama utahitaji ushauri zaidi njoo pm
Kwa hiyo ninyi wanaume ndo huwa mnafanya chaguzi sahihi, mbona Kila siku mnalialia humuBombay sio upuuzi , tatizo kubwa kwa wanawake ni Ku fail kwenye kuchagua na kukuabali aina ya mwanaume.
Hahahahahahahah.....eti hata Shetani anaogopa! hatareeeee....lakini na wewe ulikuwa very poor, yani una mapenzi hata shetani angeogopa
fungua pm iyo kwanzaHichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.
Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
nitafute upate pumziko la nafsiHichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.
Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
Hichi kimenitokea siku si nyingi yani nimemfumania live na hii si mara moja japo nishafumania mara nyingi lakini aliomba msamaha na maisha yakasonga. Lakini hii ya juzi kali badala ya kuomba msamaha kaishia kuniambia kama nimemchoka nimuache atapata wengine.
Dah eeh Mungu nisaidie nipite salama katika hili japo nishaamua ni no turning back tena ila maumivu nayopata ni Mungu tu anajua.But sitakuja kumuamini kiumbe anayeitwa mwanaume chini ya jua maana many of them wako na roho za kisatanic.
safi sana!!, kila ikitoe fursa kama hz si za kuchezea kabisa, Nakumbuka ulivyoniambia ""Jaribu bahati yako" ndo mana najitutumua hapa mkuu.mambo ni safi Mungu anasaidia
Anachokosea tu anatujumuisha wanaume wote na huyo Jamaa yake mmojaRosalie , unamoyo wa huruma sana ,unapenda watu mno!!
Upate mwanamme anayekufaa.
Hahaha dalili za kisatanic hizipole bi dada
wanaume wengine sio wema kwa wanawake
kama utahitaji ushauri zaidi njoo pm
Nikweli hilo ndo analokosea mkuu ..ila unajua nn , wanaume sometimes tunahusika sana kuwafanya hawa wanawake wake makatili sana nawenye roho mbaya sana.Anachokosea tu anatujumuisha wanaume wote na huyo Jamaa yake mmoja
pole bi dada
wanaume wengine sio wema kwa wanawake
kama utahitaji ushauri zaidi njoo pm