Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

Mkuu upo sawa sawa kabisa. Hata mimi nathibitisha kwa uzoefu wangu kwenye sekta ya mapenzi
 
Angalia utafiti wako usije kuwa umekuacha na magonjwa. pia acha udharirishaji kaka, pamoja na kuwa nitakuwa wa mwisho kuamini eti umefanikiwa kulala na mabinti tisa labda kama ulikuwa unawanunua wa buguruni-kimboka, hayo nimeongea tu ila ninachosisitiza ACHA KUDHARIRISHA WANAWAKE

Mkuu mbo 9 ni wachache sana kwa baadhi ya wanaume?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Angalia utafiti wako usije kuwa umekuacha na magonjwa. pia acha udharirishaji kaka, pamoja na kuwa nitakuwa wa mwisho kuamini eti umefanikiwa kulala na mabinti tisa labda kama ulikuwa unawanunua wa buguruni-kimboka, hayo nimeongea tu ila ninachosisitiza ACHA KUDHARIRISHA WANAWAKE

Kudhalilisha na sio kudharirisha.
 
Teh teh teh teh!Tell me about it!Mikojo kibao .Cc 2013 dada zako ovyo sana wewe.

Mi najua jamaa ni "Chagga hater" tu na mdhalilishaji wanawake. SIna hata cha kusema , anacheza na psychology ya wanawake.Ili kuwafanya wadada wa Uchaggani wawe na hulka za Ukahaba badala ya Kuwaza Maisha. In fact HAtoweza.

Just imagine Uzi aliokuja nao. Yaani naona hadi uvivu kuchangia Post kama hizi...Huwa najiuliza kwanza kujua mapenzi ni swala la Kabila ama exposure"? Je historia ya kimapenzi ya hao Mabinti wa Kichagga anao dai kukutana nao ikoje? ....HAlafu anaita research.research ya uasherati.

JApo Kuna wakati najiskia faraja kumbe ukikuta Binti wa kichagga anauza Bar atakuwa sio Malaya. KWani hawana tabia za Kujianika kwenye mambo ya ngono holela.

Binafsi naamini Mke mzuri ni yule ambaye hajaanika akili yake kwenye Ngono. Manake nijuavyo mazoea yana tabu. Yaani ikitokea umesafiri,au kwa vile anauza Bar basi awe mtu wa kugawa, ili apate uzoefu.!!

Sometimes ukiwa unajibu post za ukabila unajikuta unaingia matatizoni na makabila mengine, kwani utajikuta unatukana makabila mengine bila sababu. Honestly Nilijiskia vibaya sana nilipokuwa nikiwadisi Wasukuma kwenye uzi fulani alileta kahtaan, binafsi nawaheshimu sana..
i wonder Mods wanaacha UZi kama huu una-circulate bila kuupa ban. Bill Cosby Usiniite tena hapa.. I won't come
Bill Cosby naskia umebaka kule marekani" ya kweli haya?
.
 
Last edited by a moderator:
Hao wadada wa kichaga umewalinganisha na kabila gani? Na ni vizuri ukawa wazi kwenye vigezo ulivyotumia kutoa maamuzi hayo yasiyo na mashiko.:sick:
 
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la.

Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata mahakama ya sheria haitambui maneno ya kuambiwa. Nimekua nikisikia na kusoma mada nyingi humu watu wakilalamika kwamba wasichana wa kichaga hawajui mapenzi na kwa kua nilikua suijawahi kutoka na binti hata mmoja wa kichaga nikaamua nijiridhishe mwenyewe dhidi ya hizo tuhuma je ni kweli au wanawasingizia?

Nikaamua kufanya utafiti usio rasmi ila nilifuata njia zote za kitaalam za kufanya utafiti hivyo nikaamua kutumia njia isiyo na mpangilio(random sampling).

Hivyo toka mwezi wa 11 nimebahatika kukutana na wasichana 9 wa kichaga wa madaraja tofauti,yaani wanafunzi wa vyuo,wafanya biashara,wahudumu wa baa(siku hizi wahudumu wengi wa baa ni wachaga) na mama mtilie.

Hakika nimethibitisha kweli kua wanawake wa kichaga mapenzi yaliwapita pembeni,yaani ni sifuri kabisa.

Niwatakie sherehe njema ya krismas na mwaka mpya.

hadithi hii inatufundisha nini?
 
wasichana 9 toka November unaona sifa kutamka hivyo umptyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
tatizo lilikua wewe ni kibamia so ni ngumu sana kuoneshewa manjonjo kinatokatoka ila mapenzi tunajua banah, karefushe hiko kitoto ndoo.
 
Ni kweli kabisa! Na ndiyo sababu hawana hulka ya ukahaba, na ni wanawake waaminifu sana kwenye mahusiano!
Mwanamke asiye fundi wa ngono ni mtulivu na anajiheshimu. Wale mafundi hupenda kuonyesha umahiri wao wa ngono so ni lazima watakuwa na hulka ya kuvua pichu ovyoovyo kwavile tu wanasifiwa!
Kwa kuoa oa mchagga, kwa sarakasi xhepuka na mzaramu, na pwanis!
 
tatizo lilikua wewe ni kibamia so ni ngumu sana kuoneshewa manjonjo kinatokatoka ila mapenzi tunajua banah, karefushe hiko kitoto ndoo.

Hahaaa taratiiiib na vibamia vya watu! Weka mbali na wadada wa kazi!
 
Back
Top Bottom