Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Zee letu Tupatupa big up sana acha hao wenye mioyo migumu kuamini watajionea cku ziendavyo!
Ila bado wana Nguvu
MLIKOSEA PALE mlipompokoe Lowasa .Ninazo habari nyingi nyeti za kimatokeo. Lakini, naheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi na hivyo kuiachia kazi yake hiyo ya kikatiba na kisheria. Kazi ya kutangaza matokeo. Kwa sura niionayo, CCM iko njiani kuondoka madarakani.
Madaraka hunoga pale ambapo kuna udhibiti wa kutosha wa mihimili miwili ya dola: Serikali na Bunge. Pia, madaraka hunoga pale ambapo Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zinatawaliwa na chama kimoja: CCM. Mwaka huu jambo hilo haliwezekani.
Tayari,kuna Manispaa, Miji, na Miji Midogo imeshaangukia mikononi mwa wapinzani. Inakuwa chini ya utawala wa vyama vya upinzani. CCM inapoteza ladha ya kuitawala Tanzania kwa mapana yake. yaweza kupata hili na lile lakini itakosa yale.
Mwaka huu nimeamini na kujionea jinsi chama kinavyozaliwa,kukua na kuelekea kufa. Nayasema haya kwa uchungu mkubwa ingawa ndio ukweli wenyewe. Nasema tena kuwa CCM inapoteza kwa kasi itiayo wasiwasi utawala wake hapa Tanzania.
Kama chama, tutafurahia kitakachopatikana lakini tutapaswa kujitazama upya na kujirekebisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wewe Ukawa mmeanguka mnoochini ya lowassa tutajenga tanzania imara bila wasi wasi!!! (umeona tofauti yenu na yetu?)
MLIKOSEA PALE mlipompokoe Lowasa .
CCM inaondoka madarakani?
Hilo sahau.
Kwanza, tume ya uchaguzi lazima itawabeba tu. Hilo halina mjadala kabisa. Maana tume ni ya kwao.
Pili, idadi ya Watanzania walio majuha ni kubwa mno. They don't know any better. Wao wanaitaka CCM tu.
Vyama vingine vitawaletea vita.
katika watu ninao waheshimu Lumumba, ni wewe tu. Si mnafiki, unaongea bila ushabiki na unazi wa kipumbavu, unaamini kile unacho amini bila shurti la sivyo usingekuwa ccm hadi leo, unakosoa panapotakiwa na kupongeza panapotakiwa hata kama inaathiri kwako, Huu ni mtazamo wangu binafsi,kama unawako its youNinazo habari nyingi nyeti za kimatokeo. Lakini, naheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi na hivyo kuiachia kazi yake hiyo ya kikatiba na kisheria. Kazi ya kutangaza matokeo. Kwa sura niionayo, CCM iko njiani kuondoka madarakani.
Madaraka hunoga pale ambapo kuna udhibiti wa kutosha wa mihimili miwili ya dola: Serikali na Bunge. Pia, madaraka hunoga pale ambapo Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zinatawaliwa na chama kimoja: CCM. Mwaka huu jambo hilo haliwezekani.
Tayari,kuna Manispaa, Miji, na Miji Midogo imeshaangukia mikononi mwa wapinzani. Inakuwa chini ya utawala wa vyama vya upinzani. CCM inapoteza ladha ya kuitawala Tanzania kwa mapana yake. yaweza kupata hili na lile lakini itakosa yale.
Mwaka huu nimeamini na kujionea jinsi chama kinavyozaliwa,kukua na kuelekea kufa. Nayasema haya kwa uchungu mkubwa ingawa ndio ukweli wenyewe. Nasema tena kuwa CCM inapoteza kwa kasi itiayo wasiwasi utawala wake hapa Tanzania.
Kama chama, tutafurahia kitakachopatikana lakini tutapaswa kujitazama upya na kujirekebisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ninazo habari nyingi nyeti za kimatokeo. Lakini, naheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi na hivyo kuiachia kazi yake hiyo ya kikatiba na kisheria. Kazi ya kutangaza matokeo. Kwa sura niionayo, CCM iko njiani kuondoka madarakani.