Inawezekana kweli mmrekodi lakini matokeo rasmi yatakayoamua mshindi ni yale yanayotangazwa na tumeWe unamdanganya nani unadhani sis hatukurekodi vituoni mwetu!?

Inawezekana kweli mmrekodi lakini matokeo rasmi yatakayoamua mshindi ni yale yanayotangazwa na tume

Pengine wanachungulia kwanza wajue kama UKAWA walibaki na backup baada ya kuwahujumu jana au kama wanazo nakala zote za mawakala kutoka vituoni. Wakishajua ni takwimu zipi UKAWA wamewaharibia, basi waendelee.
chini ya magufuli tutajenga CCM imara bila wasiwasi
Bado kuna wajinga wengi katika nchi hii.CCM inaondoka madarakani?
Hilo sahau.
Kwanza, tume ya uchaguzi lazima itawabeba tu. Hilo halina mjadala kabisa. Maana tume ni ya kwao.
Pili, idadi ya Watanzania walio majuha ni kubwa mno. They don't know any better. Wao wanaitaka CCM tu.
Vyama vingine vitawaletea vita.
Bado kuna wajinga wengi katika nchi hii.
Ninazo habari nyingi nyeti za kimatokeo. Lakini, naheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi na hivyo kuiachia kazi yake hiyo ya kikatiba na kisheria. Kazi ya kutangaza matokeo. Kwa sura niionayo, CCM iko njiani kuondoka madarakani.
Madaraka hunoga pale ambapo kuna udhibiti wa kutosha wa mihimili miwili ya dola: Serikali na Bunge. Pia, madaraka hunoga pale ambapo Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zinatawaliwa na chama kimoja: CCM. Mwaka huu jambo hilo haliwezekani.
Tayari,kuna Manispaa, Miji, na Miji Midogo imeshaangukia mikononi mwa wapinzani. Inakuwa chini ya utawala wa vyama vya upinzani. CCM inapoteza ladha ya kuitawala Tanzania kwa mapana yake. yaweza kupata hili na lile lakini itakosa yale.
Mwaka huu nimeamini na kujionea jinsi chama kinavyozaliwa,kukua na kuelekea kufa. Nayasema haya kwa uchungu mkubwa ingawa ndio ukweli wenyewe. Nasema tena kuwa CCM inapoteza kwa kasi itiayo wasiwasi utawala wake hapa Tanzania.
Kama chama, tutafurahia kitakachopatikana lakini tutapaswa kujitazama upya na kujirekebisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

aWananchi wenyewe wanayo matokeo yao mikononi unafikiri ni kitu rahisi.
Wamenichukiza sana lakini Mungu atawashughulikia tu!