Nimeamini kuwa CCM inaondoka madarakani

Nimeamini kuwa CCM inaondoka madarakani

Me nishahisi kitu kwa nini viongozi wa CDM hawana wasiwasi? Hebu jiulize na ww
 
Ninazo habari nyingi nyeti za kimatokeo. Lakini, naheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi na hivyo kuiachia kazi yake hiyo ya kikatiba na kisheria. Kazi ya kutangaza matokeo. Kwa sura niionayo, CCM iko njiani kuondoka madarakani.

Madaraka hunoga pale ambapo kuna udhibiti wa kutosha wa mihimili miwili ya dola: Serikali na Bunge. Pia, madaraka hunoga pale ambapo Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zinatawaliwa na chama kimoja: CCM. Mwaka huu jambo hilo haliwezekani.

Tayari,kuna Manispaa, Miji, na Miji Midogo imeshaangukia mikononi mwa wapinzani. Inakuwa chini ya utawala wa vyama vya upinzani. CCM inapoteza ladha ya kuitawala Tanzania kwa mapana yake. yaweza kupata hili na lile lakini itakosa yale.

Mwaka huu nimeamini na kujionea jinsi chama kinavyozaliwa,kukua na kuelekea kufa. Nayasema haya kwa uchungu mkubwa ingawa ndio ukweli wenyewe. Nasema tena kuwa CCM inapoteza kwa kasi itiayo wasiwasi utawala wake hapa Tanzania.

Kama chama, tutafurahia kitakachopatikana lakini tutapaswa kujitazama upya na kujirekebisha!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Wewe mzee tupa tupa endelea kuota ndoto, ni kweli CCM imepoteza majimbo kadhaa ya ubunge na baadhi ya viti vya udiwani. Lakini mpaka sasa hivi CCM inaongoza kwa majimbo mengi sana ya ubunge. Kwenye matokeo ya urais yaliyotangazwa mpaka sasa hivi Dk Magufuli anaongoza kwa mbali sana na amemuacha lowassa kwa kura nyingi sana. Magufuli atakuwa rais na ataunda serikali yake bila shida kabisa. Baada ya uchaguzi huu, CCM haitakaa iondoke madarakani labda baada ya miaka 100 kuanzia sasa.
 
Pengine ni UKAWA nyingine, i am team UKAWA lakini nina uhakika wa haya;

1. CCM itapitisha matokeo ya Magufuli kama Rais(kwa lazima, ambayo itagharimu Serikali na Chama cha Mapinduzi)
2. UKAWA itakuwa na wawakilishi(wabunge) wengi sana kuliko CCM.
3. Viongozi kadhaa wa Serikali watashtakiwa ICC.
4. Baadhi ya viongozi waliotangazwa na Tume kupumzishwa( "rest in peace).
5. Mpasuko mkubwa katika vyombo vya usalama.
6. Kule kujivua gamba hasa(ndipo kutatokea sasa Reformation ya chama, na hasa baada ya Baraza la Mawaziri kuvunjwa hii ilikuwa planned yaani kuwa_contain Mawaziri wanaotaka kuhama kwa nyadhifa zao ni bora kuliko wao kuondoka Baraza likivunjwa kabla ya uchaguzi, same as how it was kwa mahakama kutoa shauri la kulinda kura siku ya ijumaa mchana sana na hivyo hata rufaa ingekatwa isingeweza kusikilizwa jumatatu kwani uchaguzi ulipaswa kufanyika jumapili.)


Tanzania tunayoitaka imewadia(hakuna kuogopana tena).

Mpumbavu mkubwa wewe, tena huna akili matako mkubwa. Unataka kuleta vurugu zako za kisenge! Unafikiri watanzania watagombana kwa kuandika upuuzi wako huu? Tanzania itabaki salama na hakuna mauaji wala nini kitakachotokea. Watanzania wengi wameamua na Magufuli ataapishwa kuwa rais mpya wa Tanzania.
 
Mpumbavu mkubwa wewe, tena huna akili matako mkubwa. Unataka kuleta vurugu zako za kisenge! Unafikiri watanzania watagombana kwa kuandika upuuzi wako huu? Tanzania itabaki salama na hakuna mauaji wala nini kitakachotokea. Watanzania wengi wameamua na Magufuli ataapishwa kuwa rais mpya wa Tanzania.

Tatizo unakuja jukwaani ukiwa umeshakunywa viroba....sasa kutukana kunal kusfaidia nini
Na wewe unajiita Great Thinker aue umeingia chumba ambacho hakikuhusu.
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa sababu moja kuu.

Tanzania - au nchi yoyote barani Afrika - haijawahi kuwa na mfumo wa kidemokrasia iliyo halali.

Tanzania haifuati misingi ya demokrasia kwa kuwa demokrasia ni dhana ya kigeni, sio dhana ya Kiafrika.

Demokrasia ilianzia Ugiriki, na hata huko haikuwa demokrasia iliyo ya kweli.

Waasisi wa demokrasia - mmeshuhudia jinsi ambavyo Wagiriki wanaishi maisha duni mpaka leo na uchumi wao ulivyoporomoka - wameshindwa kusimamia misingi ya demokrasia, sisi ndio tutaweza?

Tuachane na demokrasia, turudi kwenye mfumo wa uongozi wa Kiafrika wa asili, tuone kama tutashindwa.

Wakoloni walifuta mifumo ya utawala wa Kiafrika ya asili, ili watuwekee ya kwao, ambayo iliwekwa KUTUTAWALA.

Tumerithi mifumo ya kitawala ya KIKOLONI, na tunatarajia kwamba haki na amani vitadumu?

Tuache porojo, tugange ya kwetu!

HAKUNA DEMOKRASIA BARANI AFRIKA!
 
mzee tupatupa mwana ccm mwenzenu ameshaelewa kinachoendela sasa,nyie washabiki wa ccm mnabaki kumponda wakati hata taarifa za ndani hamna!....mtalia sana mwaka huu!...
 
Habari ya uhakika. 'TANZANIA IMEKOMBOLEWAAAAAAAAAAA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!".

Watanzania wote, ninaomba kuanzia leo TUINU VICHWA NA KUPAZA SAUTI ZA SHANGWE TUKIMSHUKURU MUNGU KWA KABILA ZETU ZOTE, KOO ZETU, NDIMI ZETU, MIOYO YETU NA UMOJA WETU WOTE!.

tushone mavazi maalumu kwa sababu UKOMBOZI WETU UKO TAYARI. Ndani ya siku chache zijazo Tanzania mpya inazaliwa ambayo kweli na haki vitamililki ya kutawala. Kama jinsi Mungu aishivyo, mfalme dharimu anakwenda kuanguka kwa kishindo kikubwa na kuishangaza dunia.

Haya mnayoyaona Ninaomba tushone mavazi yenye rangi za light blue bahari, Nyekundu, Nyeupe, Nyeusi, au Rangi ya Ukakamavu wa kishujaa!.

Mungu ameikomboa Tanzania na kuanzia sasa sisi na Waatoto wetu tuko huru ndani ya nchi yetu!

Natangaza Ushindi kwa Watanzania.

Ninatangaza tumaini jipya kwa waliokata tamaa.

Ninatangaza mafanikio na maendeleo kwa Watanzania wote katika kasi isiyo kifanni.

NINATAMKA IBADA TAKATIFU KWA MUNGU WA MIUNGU NDANI YA TAIFA TEULE LA TANZANIA KUANZIA SASA!.

UTUKUFU UNA MUNGU WETU SASA NA HATA MILELE YOTE!.

...what did you see behind the scene?!
 
Nakuhakikishia Ukawa kwa pamoja hawatafikisha hata majimbo 60 ya ubunge. Nadhani unajua kuwa nchi hii ina majimbo zaidi ya 300 sasa sijui izo takwimu zako ni ndoto za wapi ndugu.

Wajua hesabu sana itabidi uanze kufundisha wazee wa miaka tisini kuhesabu. Majimbo yapo 264 tu. Hayo 300 sijui umeyatoa wapi.
 
Huu ndio ujinga wa Watanzania.
Hivi fikiria kuna mwekezaji mahali fulani duniani na anaangalia sehemu ya kuwekeza dollar zake billion moja. Unamshawishi kuja Tanzania alafu wakati anatafuta facts juu ya nchi anagundua kuwa nchi ilifanya uchaguzi mwaka 2015 lakini matokeo yalichukua juma zima kupatikana tena sio kutoka Nkasi au Kyerwa bali katika mji mkuu Dar es Salaam.
Sasa akijiuliza kama watu walishindwa kuhesabu na kutoa majibu ya kura milion moja na nusu katika mji mkuu unaweza kufanya nao shughuli gani ya maana ukiwekeza hapo! Kwa maana ya potential consumers, managers na HR.

Kwa hiyo hawa wanasiasa wanafanya hii michezo ya kipumbavu ili kupata shibe za familia na jamaa zao huku wakisahau kuwa wangeliangalia kidogo tu maslahi ya taifa wangelifaidika wao na sehemu kubwa ya wananchi. Hopeless!

Ujinga siyo tusi ndugu. Sasa tuelimishe wewe mwerevu katika mazingira tuliyonayo nini kifanyike? kwani kwa mujibu wa sheria mwenye dhamana ya kutangaza ni NEC. Au na wewe ni "hopeless" kama ulivyohitimisha thread yako?
 
Me nishahisi kitu kwa nini viongozi wa CDM hawana wasiwasi? Hebu jiulize na ww
Hakuna kitu ndugu wataishia kusema wamechakachuliwa kisha maisha yataendelea. Kumbuka Padre muasi aliyewaasi CHADEMA, Dr. Slaa kwenye uchaguzi wa mwaka 2010! Aliahidi kutoa ushahidi wa kuchakachuliwa mpaka leo kimya.
 
Hakuna kitu ndugu wataishia kusema wamechakachuliwa kisha maisha yataendelea. Kumbuka Padre muasi aliyewaasi CHADEMA, Dr. Slaa kwenye uchaguzi wa mwaka 2010! Aliahidi kutoa ushahidi wa kuchakachuliwa mpaka leo kimya.

Ndo ujue hakuna uchakachuzi ni halali kabisa.
 
Back
Top Bottom