Nimeamini kuwa CCM inaondoka madarakani

Nimeamini kuwa CCM inaondoka madarakani

CCM inaondoka madarakani?

Hilo sahau.

Kwanza, tume ya uchaguzi lazima itawabeba tu. Hilo halina mjadala kabisa. Maana tume ni ya kwao.

Pili, idadi ya Watanzania walio majuha ni kubwa mno. They don't know any better. Wao wanaitaka CCM tu.

Vyama vingine vitawaletea vita.

Upinzani WA Tanzania umeumbwa kwa ghiliba, tulipohisi harufu za ukanda tukapiga kura ya hasira, nna wasiwasi luwasa kama atafikia kura zA slaa za mwaka 2010.
 
Mzee mwenzangu, nimechukua likizo ili nifuatilie matokeo, hata hivyo matokeo yenyewe yamekua magumu sana kuonekana, tangu asubuhi NEC wametokea mara moja tu na majimbo matatu tu!!!

Matokeo yote ni ya moto .. watu wana kutana kuona kwamba waamue kuya anika wazi au wafanyeje? Ila kwa taarifa nyeti ni kwamba mpaka sasa rangi ya blue, nyekundu na nyeupe wanaongoza kwa around 4m.
 
Upinzani WA Tanzania umeumbwa kwa ghiliba, tulipohisi harufu za ukanda tukapiga kura ya hasira, nna wasiwasi luwasa kama atafikia kura zA slaa za mwaka 2010.

Sidhani kama umemkomoa mtu. Wewe unaweza kufaidi, lakini dada, babu, shangaz nk kijijini wanapigika unakua hujamkomoa mtu. Kumbuka kadri upinzani unavyoimarika ndivyo CCM wanavyokua makini na angalau nchi inasonga!Niseme tu huo ukabila wako hauna maana yoyote!
 
Sio muda mrefu mtaanza kulalamika.
 
Matokeo yote ni ya moto .. watu wana kutana kuona kwamba waamue kuya anika wazi au wafanyeje? Ila kwa taarifa nyeti ni kwamba mpaka sasa rangi ya blue, nyekundu na nyeupe wanaongoza kwa around 4m.
Huu ukweli uko wazi sana sana
 
Matokeo yote ni ya moto .. watu wana kutana kuona kwamba waamue kuya anika wazi au wafanyeje? Ila kwa taarifa nyeti ni kwamba mpaka sasa rangi ya blue, nyekundu na nyeupe wanaongoza kwa around 4m.
hichi ndio kitu kinachosababisha "kigugumizi"...wasiwasi wangu ni kuwa kama kweli CCM ingekuwa imeshinda, Tume pamoja na wasaidizi wao walioko majimboni wasingekuwa na kigugumizi...
vituo tangu jana kura zimepigwa matokeo hadi leo utata...kwanini?
 
Inawezekana kweli mmrekodi lakini matokeo rasmi yatakayoamua mshindi ni yale yanayotangazwa na tume
Huu ndio ujinga wa Watanzania.
Hivi fikiria kuna mwekezaji mahali fulani duniani na anaangalia sehemu ya kuwekeza dollar zake billion moja. Unamshawishi kuja Tanzania alafu wakati anatafuta facts juu ya nchi anagundua kuwa nchi ilifanya uchaguzi mwaka 2015 lakini matokeo yalichukua juma zima kupatikana tena sio kutoka Nkasi au Kyerwa bali katika mji mkuu Dar es Salaam.
Sasa akijiuliza kama watu walishindwa kuhesabu na kutoa majibu ya kura milion moja na nusu katika mji mkuu unaweza kufanya nao shughuli gani ya maana ukiwekeza hapo! Kwa maana ya potential consumers, managers na HR.

Kwa hiyo hawa wanasiasa wanafanya hii michezo ya kipumbavu ili kupata shibe za familia na jamaa zao huku wakisahau kuwa wangeliangalia kidogo tu maslahi ya taifa wangelifaidika wao na sehemu kubwa ya wananchi. Hopeless!

Matokeo yote ni ya moto .. watu wana kutana kuona kwamba waamue kuya anika wazi au wafanyeje? Ila kwa taarifa nyeti ni kwamba mpaka sasa rangi ya blue, nyekundu na nyeupe wanaongoza kwa around 4m.

Nashukuru kwa taarifa, mijizi jamani sijui ikoje!
 
Sidhani kama umemkomoa mtu. Wewe unaweza kufaidi, lakini dada, babu, shangaz nk kijijini wanapigika unakua hujamkomoa mtu. Kumbuka kadri upinzani unavyoimarika ndivyo CCM wanavyokua makini na angalau nchi inasonga!Niseme tu huo ukabila wako hauna maana yoyote!

Well said!
 
Umesem kweli mkuu. Mwisho wa hila fedheha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11

Habari ya uhakika. 'TANZANIA IMEKOMBOLEWAAAAAAAAAAA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!".

Watanzania wote, ninaomba kuanzia leo TUINU VICHWA NA KUPAZA SAUTI ZA SHANGWE TUKIMSHUKURU MUNGU KWA KABILA ZETU ZOTE, KOO ZETU, NDIMI ZETU, MIOYO YETU NA UMOJA WETU WOTE!.

tushone mavazi maalumu kwa sababu UKOMBOZI WETU UKO TAYARI. Ndani ya siku chache zijazo Tanzania mpya inazaliwa ambayo kweli na haki vitamililki ya kutawala. Kama jinsi Mungu aishivyo, mfalme dharimu anakwenda kuanguka kwa kishindo kikubwa na kuishangaza dunia.

Haya mnayoyaona Ninaomba tushone mavazi yenye rangi za light blue bahari, Nyekundu, Nyeupe, Nyeusi, au Rangi ya Ukakamavu wa kishujaa!.

Mungu ameikomboa Tanzania na kuanzia sasa sisi na Waatoto wetu tuko huru ndani ya nchi yetu!

Natangaza Ushindi kwa Watanzania.

Ninatangaza tumaini jipya kwa waliokata tamaa.

Ninatangaza mafanikio na maendeleo kwa Watanzania wote katika kasi isiyo kifanni.

NINATAMKA IBADA TAKATIFU KWA MUNGU WA MIUNGU NDANI YA TAIFA TEULE LA TANZANIA KUANZIA SASA!.

UTUKUFU UNA MUNGU WETU SASA NA HATA MILELE YOTE!.
 
Amina!
 
Ninazo habari nyingi nyeti za kimatokeo. Lakini, naheshimu Tume ya Taifa ya Uchaguzi na hivyo kuiachia kazi yake hiyo ya kikatiba na kisheria. Kazi ya kutangaza matokeo. Kwa sura niionayo, CCM iko njiani kuondoka madarakani.

Madaraka hunoga pale ambapo kuna udhibiti wa kutosha wa mihimili miwili ya dola: Serikali na Bunge. Pia, madaraka hunoga pale ambapo Tanzania Bara na Tanzania Visiwani zinatawaliwa na chama kimoja: CCM. Mwaka huu jambo hilo haliwezekani.

Tayari,kuna Manispaa, Miji, na Miji Midogo imeshaangukia mikononi mwa wapinzani. Inakuwa chini ya utawala wa vyama vya upinzani. CCM inapoteza ladha ya kuitawala Tanzania kwa mapana yake. yaweza kupata hili na lile lakini itakosa yale.

Mwaka huu nimeamini na kujionea jinsi chama kinavyozaliwa,kukua na kuelekea kufa. Nayasema haya kwa uchungu mkubwa ingawa ndio ukweli wenyewe. Nasema tena kuwa CCM inapoteza kwa kasi itiayo wasiwasi utawala wake hapa Tanzania.

Kama chama, tutafurahia kitakachopatikana lakini tutapaswa kujitazama upya na kujirekebisha!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Endelea kuota Mzee Tupatupa,nadhani pia mngewaambia vijana wenu waache uhuni,tunataka Tanzania ya amani nchi hii si ya Ukawa pekee yake ni yetu sote kuna kukosa na kupata,mbona vijana wa CCM hawafanyi fujo hata waliposhindwa au kushinda
 
Upinzani WA Tanzania umeumbwa kwa ghiliba, tulipohisi harufu za ukanda tukapiga kura ya hasira, nna wasiwasi luwasa kama atafikia kura zA slaa za mwaka 2010.

Hivi mko busy kupost tu!! Hata Taarifa hamuangalii?
 
Back
Top Bottom