Nimeamini Jamii Forums ni sehemu sahihi ambapo napaswa kuwepo;NIMEJIUNGA

Aiseeee!!!!!
Pamoja na kuwa huu si uwanda wa kujitambulisha , lakini umenipiku mzee!
Masopakyindi nimetamba kwa muda kabla wanajamii hawajajua kuliquote hilo jina,lakini Benokolongokonongose ni kiboko!
Hilo jina ni sentesi tosha!!!!!!!!!!!!!!
 
Mh!Hilo jina.Karibu ila inaonekana jamaa ana rfk yake yuko humu na wanatumia simu au kompyuta 1 bila kusain upya.Karibu!
 
Aiseeee!!!!!
Pamoja na kuwa huu si uwanda wa kujitambulisha , lakini umenipiku mzee!
Masopakyindi nimetamba kwa muda kabla wanajamii hawajajua kuliquote hilo jina,lakini Benokolongokonongose ni kiboko!
Hilo jina ni sentesi tosha!!!!!!!!!!!!!!
yani hlo ni zaid ya sentensi!!!! hongera yake mwaya!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom