Nimeachwa na mchepuko wangu mama J muda huu

Nimeachwa na mchepuko wangu mama J muda huu

Mkuu Samahani kwa jinsi ninavyo fatilia Mikasa yako inayo mhusu mama j na isiyo mhusu.

Nafikiri mama j atakua anasagana, na wewe pia unapenda michezo hiyo na hapo ndipo kakushika.
 
Ndo umsave mwenzio mama j VODA?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha....
Hapana bhana, nmemsevu MAJAY kuficha identity (limekaa kiume), kumsevu mamaJ direct kwa wife itatia mashaka Sana[emoji4]
 
Mkuu Samahani kwa jinsi ninavyo fatilia Mikasa yako inayo mhusu mama j na isiyo mhusu.

Nafikiri mama j atakua anasagana, na wewe pia unapenda michezo hiyo na hapo ndipo kakushika.
Sio kweli mkuu,
huyu Ni mtamu na fundi Sana kunako 6×6.
Nakiri Sijawai pata mwanamke Kama yeye tangu nmebalehe na kuwajua wanawake.
Nmemcheat Sana tuachane ila kote Ni bila bila,Hakuna hata anaefikia nusu ya uwezo wake kitandani .[emoji4]
 
Mwezi mwingi, utarudi kwake, mwanamke ameshakujua kwake hujiwezi, hupindui na huo ndio ukweli huo mkongwe..

😂 😂 😂
 
Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.

Nikamuuliza
"mbona Jana ulinambia uyo shoga yako kaondoka na nauli ukasema ulimpatia"

Akasema aliona usiku umeenda Kwaiyo akaamua kughaili, ikabd nimwambie anipe Simu nimuulize. Shoga yake kanijibu kua Ni kweli asemayo mamaJ.
Nikajua hawa wote Ni wale wale wananidanganya TU, ila kwasababau Ni ishu ya ugonjwa hebu nisipuuze nifike eneo la tukio

Basi nikamjibu "nakuja" ikabidi niende kule.

Kufika nikakuta nyumba nzima inanuka pombe, chupa tupu zimezagaa sebleni kila kona. Nilivomwangalia mtu mwenyewe Hakuna Cha ugonjwa Wala Nini, Ni pombe TU wamekunywa nyingi Ila uyu shoga mtu Inaonekana Ni Kama kazidiwa na ulevi.
Huyu mamaJ kalewa ila sio kivile Sana.

Nikaona upuuzi huu,
Nikaaga naondoka tutaonana jioni nkitoka kazini,
mamaJ akaanza nisihi nimpeleke hospitali.
Kama inashindikana nimwachie Ela amnunulie chakula Akisema shoga yake kanywa pombe nyingi na tangu asbh alipokunywa chai,mchana hajala chochote na Kichwa chake chepesi.

Ikabidi nimamuulize huyo mdada Kama kweli hajala, akasema wamekula ndiz na nyama. Basi nikaona huyu mamaJ Ni mpuuzi, anatumia gia ya shoga yake apate pesa.

Nikamwambia
"acha uongo wa kipuuz, keshanambia mmekula ndiz na nyama"
Akasisitiza nimpeleke basi hospitali, nikamjibu kuA ulevi hautibiwi hospitalini.
Huyu Muache alale pombe zikiisha kichwani ataamka. Basi nikaondoka zangu.

Nmefika ofsini
mamaJ kanitumia sms 2 akiniomba ninaporudi niende na mboga, kwasababu ya changamoto ya Jana usiku sikuijibu sms yoyote ile.

Akapiga simu nikamwambia,
"Wee tayar ushasema sio wa elfu tano tano, subiri kwanza nipate pesa nyingi, afu ntakuletea"

Akasema
"Basi acha, naona ushaanza drama zako" Kisha akakata sim, nami nikaendlea na shughuli zangu.

Saa 11 baada ya kufunga ofisi,
Nikaenda kwake, nmekuta shoga yake ndo anaamka amka pombe kama zimepungua kichwani. Ikabidi niende baa ya jiran nikamunulia juice ya matunda Kisha nikamwachia anakunywa nikaenda chumban kwa mamaJ bafuni kuoga.

Nmemaliza kuoga,
MamaJ kanidaka juu kwa juu akitaka tufanye mapenzi, nami sikua na hiyana Tukafanya ila saa Moja kasoro usiku tukaja katishwa na Simu ya ghafla nilipigiwa Kuna mtu nilkua na miadi kukutana nae MDA huo, nilishajisahau. Basi nikaenda kuoga Tena na kuaga naondoka.

MamaJ kanisindikiza mpaka getini kaniaga, nmefika kwenye gari ananipigia Simu nmesahau kuacha posho ya meza.
Nikamjibu
"wewe sio wa elfu tano tano, endelea kuvuta subira. Siku nikipata pesa nyingi ntaacha tena posho ya meza"

Akakasema
" wee mwanaume unasemaje?"

Nikamjibu
"Wewe Ushasema sio wa elfu tano tano, kwasasa endelea tu kuvuta subira.
Siku nikipata pesa nyingi unazotaka ntakuachia tena posho ya meza"

Akajibu "wewe Ni mpumbavu"

Nikasema "sawa" Kisha Akakata Simu

Baada ya Hapo,
Ndo akatuma sms Hii akilalama na akitaka mahusiano yaishie hapo hapo.

Sijamjibu chochote mpaka MDA huu[emoji116]

View attachment 2340302
Yaani wewe jamaa na mchepuko wako [emoji23][emoji23][emoji23] mtarudiana tu
 
Wewe na mama J ni ngumu kuachana mkuu. Ila tu sijui ni nini kinakuchelewesha kumpiga mimba huyo demu?. Heshima ingekuwepo
 
Wewe na mama J ni ngumu kuachana mkuu. Ila tu sijui ni nini kinakuchelewesha kumpiga mimba huyo demu?. Heshima ingekuwepo
Hapo kwenye mimba kipengele mkuu,
Huyu tukizaa Atanisumbua hata zaidi ya hapa
 
Yaani wewe jamaa na mchepuko wako [emoji23][emoji23][emoji23] mtarudiana tu
Tusharudiana tayari
Tumewasiliana leo Check hizo sms na voice hapa chini analalamika[emoji4][emoji116]
Screenshot_20220831-144928.jpg
 
B8 dada ana mdomo sana...na ashajua kwamba huna la kumfanya
Na inavyoonekana huwa unasifia sana hicho kipochi manyoya chake mbele yake so anajua la kumfanya hunaa
Kipochi manyoya
 
Back
Top Bottom