Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Eh nshomile kabisa hioMhaya
Eh nshomile kabisa hioMhaya
Nshomile hio inamwaga checheeeUmeskia tena shemej yako[emoji4][emoji116]View attachment 2340856
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hio ng'ombe ya kienyeji ndio maana inakusumbua😂 Nshomile moja
Kaz anayo,Huyo mwanamke mfungulie biashara buku tano ina mdhalilisha huku kwenye mitandao mpaka na voice [emoji51][emoji16]
Safi sana huyo bibie ajengewe Sanam hivyo ndivyo inavyotakiwa sio unakuwa mchepuko bila faida😜Kaz anayo,
Kaajiliwa Mshahara Anapata na posho ya kula kila siku 10,000 Anapata kazin kwake.
Ila Sijawai kumuuliza khs senti yake anayolipwa kazini, namhudumia kila kitu kuanzia kula,kuvaa,kodi mpk usafr wake wa kwenda kazin.
Ila ndo hivyo haishi kunifanyia Visa kila kukicha dada angu
Kama ni kweli nimechokaKwann [emoji848]
Ni kachumbali kwenye mahusiano yananogeshaKwaiyo unaona mazuri Ayo[emoji848]