To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,192
- 37,770
Niko poa kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Vip mzima kabisa?
Niko poa kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Vip mzima kabisa?
Naona hadi avatar umebadilishaNiko poa kabisa
Yeah,karibuNaona hadi avatar umebadilisha
Sasa kwanini umeweka picha yako kwenye avatar yako?Yeah,karibu
Update.......
MamaJ katoka Kanipigia MDA huu,
Nmepokea, nmemsikiliza
Sikilizeni,
haya ndo yalikua mazungumzo yetu[emoji116]View attachment 2340823
Shida Iko wapi kwanSasa kwanini umeweka picha yako kwenye avatar yako?
Wakati unafanya anniversary yamLeo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.
Nikamuuliza
"mbona Jana ulinambia uyo shoga yako kaondoka na nauli ukasema ulimpatia"
Hongera Sana chief[emoji4]Bora kutulia na mwanamke mnayeendana kimtazamo, kimatumizi nakadhalika.
Mfano wangu huyu hana neno kabisa
View attachment 2341024
Mimi naombea muachane ili nimbebe mimi,maana inaonekana ni fundi sana kitandani.Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.
Nikamuuliza
Mkeka wangu huo chief unapumua vizuri😅😅Hongera Sana chief[emoji4]
Na wewe unapenda kashikashi?? Sasa nani kasema wanawake hawajui nini wanataka hata wanaume hawajui nini wanataka. Mkipata mwenye kashikashi mnamtafuta mtulivu and vice versa is true. Life is wonderful.Ha ha ha ....
Hamna, nampenda Sana mke Wang.
Sema wife katulia Hana kashikashi Kama alizonazo mamaJ[emoji4]
Hamna shida kama uchaingii mada kwenye jukwaa la siasa ila kama upo active kule shida ipo bibieShida Iko wapi kwan
Nachangia ila sichangii mabaya.Hamna shida kama uchaingii mada kwenye jukwaa la siasa ila kama upo active kule shida ipo bibie