Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,218
- 4,416
Huyu hawezi kukuacha hata akipelekwa ukraune mmetoka mbali sana [emoji1787][emoji1787]
Ulijitahidi sana kumvumilia kwa muda mrefuKwa Tabia zake,
Mwanaume wa kumvumilia hayupo,
Kwanza anataka huduma na attention Sana,
Ni wachache tunaweza kumvumilia kwa upuuzi wake
Unataka nnWatu wadar ndio mambo wanayokutana nayo wewe ni wadar au mkoani
Nimeona una ustaharabu ndio maana nimekuuliza hivyoUnataka nn
Mi ni To yeye mkuu natoka mbeya😜Nimeona una ustaharabu ndio maana nimekuuliza hivyo
Nakadori huyo mama j, njaa Ya pesa ndo zitamrudisha kwa DeepPond na sio genye.Kwa unavyo mmanua mbona atarudi mwenyewe tu
Utarudi tu!!Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.
Nikamuuliza
"mbona Jana ulinambia uyo shoga yako kaondoka na nauli ukasema ulimpatia"
Akasema aliona usiku umeenda Kwaiyo akaamua kughaili, ikabd nimwambie anipe Simu nimuulize. Shoga yake kanijibu kua Ni kweli asemayo mamaJ.
Nikajua hawa wote Ni wale wale wananidanganya TU, ila kwasababau Ni ishu ya ugonjwa hebu nisipuuze nifike eneo la tukio
Basi nikamjibu "nakuja" ikabidi niende kule.
Kufika nikakuta nyumba nzima inanuka pombe, chupa tupu zimezagaa sebleni kila kona. Nilivomwangalia mtu mwenyewe Hakuna Cha ugonjwa Wala Nini, Ni pombe TU wamekunywa nyingi Ila uyu shoga mtu Inaonekana Ni Kama kazidiwa na ulevi.
Huyu mamaJ kalewa ila sio kivile Sana.
Nikaona upuuzi huu,
Nikaaga naondoka tutaonana jioni nkitoka kazini,
mamaJ akaanza nisihi nimpeleke hospitali.
Kama inashindikana nimwachie Ela amnunulie chakula Akisema shoga yake kanywa pombe nyingi na tangu asbh alipokunywa chai,mchana hajala chochote na Kichwa chake chepesi.
Ikabidi nimamuulize huyo mdada Kama kweli hajala, akasema wamekula ndiz na nyama. Basi nikaona huyu mamaJ Ni mpuuzi, anatumia gia ya shoga yake apate pesa.
Nikamwambia
"acha uongo wa kipuuz, keshanambia mmekula ndiz na nyama"
Akasisitiza nimpeleke basi hospitali, nikamjibu kuA ulevi hautibiwi hospitalini.
Huyu Muache alale pombe zikiisha kichwani ataamka. Basi nikaondoka zangu.
Nmefika ofsini
mamaJ kanitumia sms 2 akiniomba ninaporudi niende na mboga, kwasababu ya changamoto ya Jana usiku sikuijibu sms yoyote ile.
Akapiga simu nikamwambia,
"Wee tayar ushasema sio wa elfu tano tano, subiri kwanza nipate pesa nyingi, afu ntakuletea"
Akasema
"Basi acha, naona ushaanza drama zako" Kisha akakata sim, nami nikaendlea na shughuli zangu.
Saa 11 baada ya kufunga ofisi,
Nikaenda kwake, nmekuta shoga yake ndo anaamka amka pombe kama zimepungua kichwani. Ikabidi niende baa ya jiran nikamunulia juice ya matunda Kisha nikamwachia anakunywa nikaenda chumban kwa mamaJ bafuni kuoga.
Nmemaliza kuoga,
MamaJ kanidaka juu kwa juu akitaka tufanye mapenzi, nami sikua na hiyana Tukafanya ila saa Moja kasoro usiku tukaja katishwa na Simu ya ghafla nilipigiwa Kuna mtu nilkua na miadi kukutana nae MDA huo, nilishajisahau. Basi nikaenda kuoga Tena na kuaga naondoka.
MamaJ kanisindikiza mpaka getini kaniaga, nmefika kwenye gari ananipigia Simu nmesahau kuacha posho ya meza.
Nikamjibu
"wewe sio wa elfu tano tano, endelea kuvuta subira. Siku nikipata pesa nyingi ntaacha tena posho ya meza"
Akakasema
" wee mwanaume unasemaje?"
Nikamjibu
"Wewe Ushasema sio wa elfu tano tano, kwasasa endelea tu kuvuta subira.
Siku nikipata pesa nyingi unazotaka ntakuachia tena posho ya meza"
Akajibu "wewe Ni mpumbavu"
Nikasema "sawa" Kisha Akakata Simu
Baada ya Hapo,
Ndo akatuma sms Hii akilalama na akitaka mahusiano yaishie hapo hapo.
Sijamjibu chochote mpaka MDA huu[emoji116]
View attachment 2340302
Huyu kwa lafudhi hii ni MGOGO/Mnyaki 😅 😅 😅Update.......
MamaJ katoka Kanipigia MDA huu,
Nmepokea, nmemsikiliza
Sikilizeni,
haya ndo yalikua mazungumzo yetu[emoji116]View attachment 2340823
Hii kanda ya ziwa moja kwa moja, sio mgogo!Huyu kwa lafudhi hii ni MGOGO/Mnyaki 😅 😅 😅
Kumbe ni wewe kwanini umebadilisha Id? Kwanza nilikuwa najiuliza huyu mtu amepotelea wapiMi ni To yeye mkuu natoka mbeya😜
Aaah wapi,Mkuu nakumbuka uliwahi niponda sana mimi kisa nilipiga chini mdada baada ya kuona ana viashilia ya kuwa escort na vile aliomba pesa sikumpa.
Ukanituhumu sana nitafute pesa wadada hawana tatizo.
Kwa scenario yako hii mi sio tatizo kwa Mama j ila nachokiona wewe ndio bahili unapenda kula mzigo free ila huduma hutoi ndio maana kaamua kuanza kujitungia sababu ili tu akuchomoe hela.
Nacho kiona alikuvumolia muda napo ni sababu ulikua unakidhi mahitaji yake chumbani vizuri hiyo ikawa bahati yako akakufumbia macho kwa muda ila badae akaanza kuunda mbinu za kukutoa pesa.
So far mpaka sasa naona utarudi tu ukipata visent utaenda kuyamaliza na utaendelea ila safari hii utapunguza ubahili.
MhayaHii kanda ya ziwa moja kwa moja, sio mgogo!
Hio ng'ombe ya kienyeji ndio maana inakusumbua😂 Nshomile mojaWakuu,
Extrovert Beesmom Nakadori na wanaMMU
Hebu Msikilizeni shemej yenu mamaJ,
Kanipigia MDA mfupi ulopita,nilimrekodi
[emoji116]
View attachment 2340851