inauma basi tu hamjui
Kama ndo ww avatar njo nkupeti
PoleeeeeeNa Mimi nimeachwa
Najua bwana,kasafiri ndomana nipo freeUnajua kumpeti Mume au ndo kutwa uko na simu?
Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili
Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Kisa cha kuachwa kama hutamind.
Bibie waonaje ukiwa nami binadamu nisiejua kuacha...?Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili
Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Kutosimamia vizuri show zako inaweza kuwa sababu ya kuachwa kwako.Na Mimi nimeachwa
KUMBE UBAHARIA SIO KAZI NYEPESIBaharia huwa haachwi ila yeye ndio anaacha haufai kuwa BAHARIA
SawaKutosimamia vizuri show zako inaweza kuwa sababu ya kuachwa kwako.
Harafu kwelii nakumbuka hii kituMie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili
Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Mkuu cha la wana hiloJiunge chaputa hadi utakapo pata hela.. hakuna namna hapo