NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

Baharia unaachwaje kifala hizo, mtumie text, asahau kuhusu suala na kuachana na bado mpo kwenye mahusiano uone reaction yake
 
Nakumbuka ulishaniambia wewe ni mwizi...nioe basi nitakutunzia siri
Nitakuoa bibie,mchakato wa ndoa uko tofauti na kuutamka kinywani. Lakini ondoa hofu kwangu umefika,penzi la mwizi lina nguvu mara tatu ya ile anayoitumia kubeba mizigo isiyobebeka nyakati za usiku. Karibu sana ni zamu yako kutulizwa na kufutwa machozi. Nataka nikusahaulishe maudhi na maumivu yote.
 
Kuachana Ni ushamba.

Sikuizi watu wa ahirisha kwa mudaaa
 
Kwa uandishi wako huo siwezi kukupa utomb3 hata mbwa wangu
Uhahahaaaaaa
tapatalk_1477396745129.jpeg
 
Na siku ya valentine akatuma text ndefuuuu ya kudai ananipenda sana mammmae zake
Hivi joanah nawewe unatukana.!!!

Anyway ulimkorofisha itakuwa paka akabadilika
 
Back
Top Bottom