NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

Product

Product

Member
Sep 7, 2019
70
125
Umeachwa? Ulishikwa na nani?

Ukiachwa achika..ukitemwa temeka...Barnaba kashasema hamuelewi mpka aseme mrisho mpoto ndio mtaelewa??

kakamkubwa

kakamkubwa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
1,179
2,000
Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili

Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Jitahidi safari hii uolewe na mwizi akitaka kukuacha mtishie kuvujisha siri.
 
Agustino87

Agustino87

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,513
2,000
Bibie waonaje ukiwa nami binadamu nisiejua kuacha...?
Tena nisie mashaka Kama mla mbatata,nitakujaza furaha isiyo mashaka,si tu chochote utapata Bali hata kuacha hutataka!,si kwasababu ya makwata Bali utamu matata.
Ndimi wako wakili,hata usifikiri
Nipe yako asili,usiku nikusitiri.
Hapo kama naona unavyomlagai mtoto wa watu
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
10,940
2,000
Hapo kama naona unavyomlagai mtoto wa watu
Usinipeperushie njiwa wangu hlf hakuna ulaghai hapo Bali utamu tamuni hamu hamuni. Ulaghai Babu yangu hakuwahi kunifundisha ila kupenda penye upendo hapo ndipo alipoliwasilisha somo lake kwangu na bila hiana Wala lawama somo lake limeujaza kibubu Cha mapenzi yangu.
 
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
15,208
2,000
Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili

Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Kweli alokuacha alikupa pengo.

Nmejaribu kujiridhisha kama ilivo kawaida yangu.

Kweli 7/2/2016 ilikua Jumapili.

Pole kwa kuacha.

Ungemtaimu !!
 
Joanah

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
13,594
2,000
Bibie waonaje ukiwa nami binadamu nisiejua kuacha...?
Tena nisie mashaka Kama mla mbatata,nitakujaza furaha isiyo mashaka,si tu chochote utapata Bali hata kuacha hutataka!,si kwasababu ya makwata Bali utamu matata.
Ndimi wako wakili,hata usifikiri
Nipe yako asili,usiku nikusitiri.
Hahahahah
Miss you mkuu KENZY ,umekuwa adimu humu ama umehama jukwaa?
 
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
15,208
2,000
Hahahaha hiyo siku naikumbuka vizuri kama imetokea jana tu
Ivi mwanaume anayekuacha kwakuambia kwanzia leo mimk naww basi... Au yule anaye acha-kwafaida..

Yaan akiwa amekuham anakutafuta ... Yupi bora??

Pole sana

Let 7/2/2020 Lafu tugeza !!.
 
Joanah

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
13,594
2,000
Ivi mwanaume anayekuacha kwakuambia kwanzia leo mimk naww basi... Au yule anaye acha-kwafaida..

Yaan akiwa amekuham anakutafuta ... Yupi bora??

Pole sana

Let 7/2/2020 Lafu tugeza !!.
Ni heri anayeniambia moja kwa moja nijue,halafu ni heri pia ukiacha mtu uwe umemaanisha kwamba unaacha...sio unamuacha mtu tarehe 7/2 halafu tarehe 8/2 unakuja kusema hukusema umeacha
 
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
15,208
2,000
Ni heri anayeniambia moja kwa moja nijue,halafu ni heri pia ukiacha mtu uwe umemaanisha kwamba unaacha...sio unamuacha mtu tarehe 7/2 halafu tarehe 8/2 unakuja kusema hukusema umeacha
iyo inaitwa ukimmis, mwambie majukumu mengi mama ila nakukumbuka!!
 
Top Bottom