NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

Wala usijali.

Give it time.

Hiyo tarehe utaiona ya kawaida sana and with time utasahau.

Kwa sasa skilizia tu maumivu. Kama umeamua kuumia.
 
Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili

Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Bibie waonaje ukiwa nami binadamu nisiejua kuacha...?
Tena nisie mashaka Kama mla mbatata,nitakujaza furaha isiyo mashaka,si tu chochote utapata Bali hata kuacha hutataka!,si kwasababu ya makwata Bali utamu matata.
Ndimi wako wakili,hata usifikiri
Nipe yako asili,usiku nikusitiri.
 
Back
Top Bottom