Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
1.Ana Aibu
2.Anapenda kupika
3.Nywele Halisi
4.Kucha Safi
5.Hajachora tatoo wala hajapaka Bleach
6.Havai Vans
7.Hatumii Kilevi
8.Hafugi makucha marefu
9.Msafi
10.Mcha Mungu
Kama ana 7/10 oa hapo Mkuu. Mkishindwana, urudi hapa mwaka kesho uniite Aisha Mapepe
2.Anapenda kupika
3.Nywele Halisi
4.Kucha Safi
5.Hajachora tatoo wala hajapaka Bleach
6.Havai Vans
7.Hatumii Kilevi
8.Hafugi makucha marefu
9.Msafi
10.Mcha Mungu
Kama ana 7/10 oa hapo Mkuu. Mkishindwana, urudi hapa mwaka kesho uniite Aisha Mapepe