NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

NIMEACHWA LEO TAREHE 7/9/2019

Mie niliachwa tarehe 7/2/2016 siku ya jumapili

Mwakani tukumbushane hizo tarehe basi ili tusheherekee miaka kadhaa ya uhuru
Hivi mtu anaanzaje kumuacha mtu kama wewe?
Au upo tofauti sana na tabia yako ya kuwa flexible kama ulivyo onesha hapa JF?
 
Back
Top Bottom