Nimeachana na mke wangu leo

Nimeachana na mke wangu leo

Ndo maana badae wanadharaulika unakuta MTU anamuacha Kwa matusi na rahana juuuuuu lkn badae anamtaka tena
Kweli kabisa pia huwa nakumbuka wale wanaosema kwamba tusifanye maamuzi tukiwa na hasira mana yaliyo mengi yanakuwa sio sahihi.
 
Mbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .

hao watoto una uhakika ni wako kweli au wa jamaa uliyemfuma maana wakoloni wanasena "once a cheater always a cheater"
 
Sazingine tuchukue muda kuwatengeneza wakezetu wawe kama tunavyotaka sio kukimbilia kuacha tu.

Mwanamke nikiumbe dhaifu kama ukiamua kumpatiliza huku unamuingiza kwenye mwenendo unaoutaka inawezekana ilimradi uwe nahekima na ujanja wakumsomatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
Hao watoto una uhakika ni wa kwako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom