Hongera kaka, kama hutajali naomba namba ya x wife wako nae nimpongeze.Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Mh! mkuu mbona maelezo machache sana, na kingine mbona hakuna na madai ya upande wa pili? Jipange utuletee taarifa iliyokamilika hapa coz unaweza kukuta wewe ndio balaa na umepata kamchepuko kanakuzuzua.Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Ha ha ha ha. Mulika mwizi...Wewe si uliniambia hujaoa?
Tena akaniambia anatafuta mke maana umri umeenda ana miaka 49 sasaHa ha ha ha. Mulika mwizi...
Mmh. MakubwaTena akaniambia anatafuta mke maana umri umeenda ana miaka 49 sasa
Hiyo staili yako ya kutafuta mwanamke humu Jf nimeielewa sana.............wasubir mkuu watakuja tu Pm
Jitihada ni zakuomba Mungu tuSio kisubiri muda tu, na jitihada muhimu
Mkuu usisikilize maneno ya waja humu ndani, mwanamke ameagizwa amuheshimu mume wake na mume ampende mkewe in return, kama hakuheshimu tafadhali ACHANA NAE na wala usirudi nyuma. mwanamke mwenye dharau ni mbaya sana na hafai hata kuwa mchepuko.


