Nimeachana na mke wangu leo

Nimeachana na mke wangu leo

Kukupenda tu si justification kuwa ni wako...kapime DNA
Mkuu DNA niupotevu wa pesa usokua namaana .......... Unajua mtoto wako unamjua tu niwako unless uwe mwanamme mzembe .. Mimi wanavyonipenda inatosha tu mkuu . alafu watoto ni vibonge Bonge ,, ukiwaona wakike ni vibonge wanafya wanapendeza ,,ukiona wa kiume wanene ngozi lain,, wanaafya yaaan wakitabasam mpaka unajiona wewe baba yao ...Tukitoka out ni shidaaahhh.

Weeee mie mke wangu nilimsamehe sababu mimi ndio nilikua chanzo ,, alipogundua ninamichepuko naivyo nikawa simpi haki yake nanyumban kurudi ikawa shida Basi naye akaanguka lkn nakuhakikishia she was a royal sana ,,mpole nahuyu mwanamke kila nikimuangalia mpaka naonaga sana Bahati kua naye.
 
Dah. Tunafanya utani lakini kwa kweli umenigusa. Una maarifa sana aisee.

Nilishawahi kumuambia mtu, ningekuwa mwanaume mke wangu akanicheat ningekuwa mpole kabisa. Ningemsamehe na kumuuliza kwa nini amechepuka. Na sababu zake ningezifanyia kazi na kumuomba msamaha kwa kumfanya anikosee.

Naamini kabisa mwanamke hapendi kuchepuka, ofcoz unless ni kahaba tu na anatafuta pesa.
Mkuu DNA niupotevu wa pesa usokua namaana .......... Unajua mtoto wako unamjua tu niwako unless uwe mwanamme mzembe .. Mimi wanavyonipenda inatosha tu mkuu . alafu watoto ni vibonge Bonge ,, ukiwaona wakike ni vibonge wanafya wanapendeza ,,ukiona wa kiume wanene ngozi lain,, wanaafya yaaan wakitabasam mpaka unajiona wewe baba yao ...Tukitoka out ni shidaaahhh.

Weeee mie mke wangu nilimsamehe sababu mimi ndio nilikua chanzo ,, alipogundua ninamichepuko naivyo nikawa simpi haki yake nanyumban kurudi ikawa shida Basi naye akaanguka lkn nakuhakikishia she was a royal sana ,,mpole nahuyu mwanamke kila nikimuangalia mpaka naonaga sana Bahati kua naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom