kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 343
- Thread starter
- #241
Nimechukua tkribani mwaka mzima kuchunguza na kujirizisha juu ya hayo matatizo km mi sugu au yanaweza rekebishikaAngalia chanzo mkuu
Nimechukua tkribani mwaka mzima kuchunguza na kujirizisha juu ya hayo matatizo km mi sugu au yanaweza rekebishikaAngalia chanzo mkuu
Akapambane na hali yake huko.. Huyo atakua alishampata wa kumgegeda au kasikiliza maneno ya saluni...[/QUOT] umenikosha sana
Soma mathayo 19:1-9,marko10:1-10,kama ukimwacha ukaoa mwingine unazini, utamkosea Mungu na huenda ukafia dhambin na usipate nafasi ya kutubu na kuuona uzima wa milele!!!,hayo ni mambo ya kuvumilia tu,mwombe Kristo Yesu akupatie neema ya kumvunilia mwenza wako!!!Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa