Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,981
Angalia chanzo mkuu
Kaa utulie sasa kisukari kikikupata utuletee mrejeshoNineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Mwanamke mzuri akishakuona muoaji na unavigezo vyake baada ndoa ni full kupambana na hali yako mwanaume utajua hadiiii ambayo hukuwahi kuyatafakari anayo!Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Katika nchi ya vipofu ,mwenye chongo ni mfalme !!..Kwani uliongea pm au hadharani?

OkeeeKatika nchi ya vipofu ,mwenye chongo ni mfalme !!..![]()
![]()
Yap yap !!! Uhali ganOkeee
Uchovu, nimechoka mbayaYap yap !!! Uhali gan
My queen inawezekana wanaelekezana...Mtoa mada mngekaa mkaelekezana tu. Mimi nikikosea my king ananielekeza my queen mambo hayaendi hivo mke wangu hapo umekosea sana nami namsikiliza namuelewa na kujishusha pia nakiri kukosa na kuomba radhi
mahondaw wa Smart911
Asante mkuu.![]()
![]()
pole sana, pole na mizunguko ya siku nzima.
wewe ulikuwa humtakiKumwacha sio suluhisho. Unapaswa kujua kwanini hakuheshimu,vinginevyo hata mpya utakayempata anaweza kutokuheshimu pia.
Are you sure umemuacha au ndio hasira. Think well about the decisionNineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Emotions....baadae baby come back mnaachana kwenye mataaMkuu unatutangazia kuwa wewe sasa ni free agent?
Unampa "MSAGA SUMU" ya kutosha ??Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Huyu nae alivuka mpaka !! Wakati mwingine kugegedana kunaitaji ushirikiano. !! kama anafurahi cha " x " si akaolewe nae...Kuna memba humu namfahamu alimfukuza mke ake kwa maneno yanayouma sana. Alimwambia 'kwanza we hunigeged vZr kama x wangu'. Seriously waliachana mpk sasa hawakai pamoja.
Jamaa aliumia sanaaaa sikien kwa watu tu
Sawa bana.Asante mkuu.
Weka na namba yake ya simu hapa!Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa