Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,114
Hizi ni dalili za kua ana mchepuko. So bure!!!Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Huja wahi kukutana na kiburi mkuuMkuu, binafsi namini hizo sababu haziachi mke
Mkuu unatutangazia kuwa wewe sasa ni free agent?
Mwanaume akikuchoka kukutafutia sababu hashindwi mkuuWanaume wanaoheshimiwa na kusikilizwa ni wale wanaoheshimu na kusikiliza. Kama hajaheshimiwa na kusikilizwa basi naye hajaheshimu na kusikiliza.
Ataendelea kuacha sana, hivyo atakaenasa kwa huyo free agent beware...
hao watoto inawezekana sio wako, kapime DNAMbona yako nimadogo ,,Mimi wangu nilimfuma miaka kadhaa ilopita lkn mpaka sasa nipo naye na kanizalia watoto wazuri nawenye afya . sembuse we kutokukuheshimu tu suala ambalo unapaswa umpigishe shule ????? .
Wanaume wanaoheshimiwa na kusikilizwa ni wale wanaoheshimu na kusikiliza. Kama hajaheshimiwa na kusikilizwa basi naye hajaheshimu na kusikiliza.
Ataendelea kuacha sana, hivyo atakaenasa kwa huyo free agent beware...
Mwanaume kamili hachoki mkeMwanaume akikuchoka kukutafutia sababu hashindwi mkuu
Mwanaume akikuchoka kukutafutia sababu hashindwi mkuu