Nimejitahidi sana kwa Hilo mpaka muda mwingine nilijiona km bwegewe unamuheshim na kumsikiliza?
kabisaSasa ngoja aende kwa wale ambao Mikuyenge yao iliyotukuka itamfanya awaheshimu na kuwasikiliza milele daima.
Mchepuko alikua nao nyo pia misababu moja wapo
Sio sifai tu sihitaji kabisaMeans hufai Hata kuwa mchepuko wa mtu...
Haiwezi kutokea lands kwa sababu zingina azijuazo mungu nitapata kisukari ila si mwanamkeKaa utulie sasa kisukari kikikupata utuletee mrejesho
asante sana
tumekalishana sana lakini hataki kubadirikaMy queen inawezekana wanaelekezana...
Lakini...
Binadamu ni wabishi sana...
Na haipendezi kabisa lakini inapobidi unaacha tu. Yapo ambayo hayavumiliki mkuu
kabisaHuyu nae alivuka mpaka !! Wakati mwingine kugegedana kunaitaji ushirikiano. !! kama anafurahi cha " x " si akaolewe nae...
Sent using Jamii Forums mobile app
nimemzidi miaka 4Labda mnalingana umri
Unakuta x wake kamtumia pesa tena ndogo ambayo uaweza mpa hata km hajakuomba maana take ni nini? Tamaa na zarauMrudie acha uboya maku wewe
nimeiona lakini sijataka kuijibu maana nimeta sababu mbili za kuachana na aliyekua mke wangu hakuna haja yakujibu vitu vilivyo nnjea nada yangucomment namba 6 imejaa mafunzo tupu...
nagonga sana mechi shida pesa Nampa shida sijui niniMzse ukitaka heshima kwa mwanamke lazima uwe na vitu viwili. Moja piga sana mech mpaka aombe po, pili tafuta pesa kwa bidii
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake pia ni wengi ila wolewaji ni wachacheWanaume ni wengi ila waoaji ni wachache!!!..
Inaonekana kapata jamaa anaeweza kukidhi mahitaji take yoteUnahisi kwanini mke wako hakuheshim na hakusikilizi kabisa..???kuna tatizo broo tena kubwa mno
Sent using Jamii Forums mobile app