Niumie kwa sababu zipi?Umeumia mimi kuacha drama?
Najua kitu gani ? Hapa pia unafanya drama kwa sababu sikujui zaidi ya maandishi yako hapaYou know what I mean
ila hakikisha haukipi muda mileleChochote kile ambacho una mashaka nacho kipe MUDA.
yeahila hakikisha haukipi muda milele
Wewe makalio yani mimi nime surrender kwa debe tupu kama wewe?Huyo alipo surrender siku ya leo, ndo nikajua kumbe kuharibu watu kisaikolojia sio jambo jema.
🙏Wewe makalio yani mimi ni surrender kwa debe tupu kama wewe?
Wewe nilikutahadharisha kitambo sana ila hukusikia,sasa ukae ujue kua ukikosa adabu utakutana na mimi ambaye ni dawa ya wadudu wanaruka na wanao tambaa,
Hii sio mara yako ya kwanza kuanzisha uzi kama huu,hata baada ya kupigwa ile Ban ulikuja na ngonjera eti umebadilika,unashindwa kutambua kua Kichaa haponi bali hupata nafuu tu,
Nilikwambia kua watu hua hawajisifu bali husifiwa,ukakaza fuvu,leo hii ndio umejua sio? Wewe huwezi kubadilika,maisha yako ya sasa ni matokeo ya malezi uliyo yapitia.
kwani kipindi anaacha utoto alisema now nimeacha utoto inakujaga tu unajikuta umeacha mara zote kitu kinachokadamizwa ndo huwa kinapata nguvuMaliza ujinga wako hapa hapa usije kuzeeka ukawa wa kutumiwa kwenye mifano mibaya tu.
Ni sawa piaWewe huwezi kubadilika,hii sio mara yako ya kwanza kusema unabadilika,mabadiliko ya kweli hua hayatangazwi bali matokeo yake ndio huonekana na kuleta majibu,
Hapa pia ulisema umebadilika,
JF VAR CHECKGuys am back...
Better than who I was...
Ni mimi de Gunner. Tafadhari Moderator rudisheni jina langu la de Gunner
Maisha ya ban mabaya sana, it's not worth it. Najua humu kuna anonymous IDs ila isikufanye ukwa big headed kujifanya unaweza kuvuka mipaka.
Hakika nilizidisha egoism, imagine inaipa staff ya JF na mods masaa kadhaa eti wampige ban mtu kwa matakwa yangu😂 guys, it was insane.
Ila yote kwa yote, the ban was necessary Hakika nimekuwa now. Kuna watu humu walikuwa wananiona kama role model ila ile incident iliyo tokea ilinishusha viwango and I know that kuna...
- de Gunner
- mbaya
- Replies: 344
- Forum: JF Chit-Chats
One good habit, is knowing how to humble yourself... Because a man isn't respected by their words, but their actions.✔‼💪🏿It's time to be the big brother..
Poleni sana kwa wale wote nilio wakwaza... Kuna watu mpaka wameniweka ignore list kisa majibizano ya hapa na pale..
Binafsi ni mtu ninayependa sana battle, ila umefika muda sasa wa kuanza kuonesha am more than that,
to all those people who try to spark a war with me.Trust me, Nime badilika sasa, I'll never engage with y'all. Ni muda wa kuwa constructive pekee... Nimegundua kuwa greatness doesn't seek approval
One good habit, is knowing how to humble yourself... Because a man isn't respected by their words, but their actions.